Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh.Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini(CHADEMA) amesema kuna watu wanampigiapigia simu na kutaka kumshawishi ahamie chama cha mapinduzi (CCM).
Amesema watu hao wanampigia simu na kumtishia kuwa ni bora achukue hela aweze kujianga na CCM maana 2020 yeye, halima, sugu, mnyika, na Lema hata wafanyeje wataondoka tu.
Amesema kuwa kwanza wanaompigia simu wakome kabisa hana bei na hawezi kuuza heshima aliyopewa na wananchi wa Iringa na wakirudia tena atawarecord ili aweze kusamabaza mitandaoni.
CCM ni kama mti wa mchrismas wanajaribu kupamba matunda yanaonekana yanang'aa kumbe ni artificial yanayopambwa na watu wachache waliokosa dira.
Uhalisia kama kweli CCM inafanya kazi au rais Magufuli anafanya kazi Aruhusu democracy ichukue mkondo wake, Aruhusu kukosolewa, Aruhusu haki za binadamu,Aruhusu utawala bora siyo hizi debe anazopigiwa na watu waliokosa dira na kutotambua nini maana ya democracy na utawala bora.
Alete ushahidi wa hao wanaompigia simu kama hana huku ndio tunaita kujitongozesha,sawa na mwananmke anayemtaka mwanaume fulani lakini huyo mwanaume asiwe na time nae utasikia huyo mwanamke akijinasibu kuwa ah yule mwanaume ananitaka lakini mimi simtaki wakati hata hajawahi hata kutakiwa.Msigwa hana umaarufu wowote wa kupigiwa simu na watu wa CCM kama simu basi anapigiwa na Nyalandu,lakini siku hizi waziri ni Kingangwala.Mh.Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini(CHADEMA) amesema kuna watu wanampigiapigia simu na kutaka kumshawishi ahamie chama cha mapinduzi (CCM).
Amesema watu hao wanampigia simu na kumtishia kuwa ni bora achukue hela aweze kujianga na CCM maana 2020 yeye, halima, sugu, mnyika, na Lema hata wafanyeje wataondoka tu.
Amesema kuwa kwanza wanaompigia simu wakome kabisa hana bei na hawezi kuuza heshima aliyopewa na wananchi wa Iringa na wakirudia tena atawarecord ili aweze kusamabaza mitandaoni.
CCM ni kama mti wa mchrismas wanajaribu kupamba matunda yanaonekana yanang'aa kumbe ni artificial yanayopambwa na watu wachache waliokosa dira.
Uhalisia kama kweli CCM inafanya kazi au rais Magufuli anafanya kazi Aruhusu democracy ichukue mkondo wake, Aruhusu kukosolewa, Aruhusu haki za binadamu,Aruhusu utawala bora siyo hizi debe anazopigiwa na watu waliokosa dira na kutotambua nini maana ya democracy na utawala bora.
Nani Nyalandu?Wakuu,
Mie nadhani kamaanisha kutoa idea kwa raia kulipiza kisasi kwa yeyote atakaetufanyia usaliti huu atiwe adabu kama hivo alivyosema. Kwa kweli watu tumelala sana. Hawa wabinafsi wanaotenda matendo kama haya wanaoamua kutusaliti baada ya hatua tuliofikia wanastahili hayo aliyoyasema Msigwa! Na akitiwa adabu mmoja tu itakuwa funzo kwa wengine. Vyenginevyo tutalia lia bila ya msaada wowote na siku zote sisi tutakuwa watu wa kunyanyaswa na CCM na ma-opportunists wenzao!!
Kumbe inachukuaga kilaza ingawa si kila kilaza anachukuliwa na CCM.Nani amekwambia CCM inachukuwa kila kilaza? Wewe hata ukilazimisha huwezi kuchukuliwa CCM, IQ yako haitoshi!
Jamaa ni kigeugeu sana na ana siasa za kinafiki.Mh.Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini(CHADEMA) amesema kuna watu wanampigiapigia simu na kutaka kumshawishi ahamie chama cha mapinduzi (CCM).
Amesema watu hao wanampigia simu na kumtishia kuwa ni bora achukue hela aweze kujianga na CCM maana 2020 yeye, halima, sugu, mnyika, na Lema hata wafanyeje wataondoka tu.
Amesema kuwa kwanza wanaompigia simu wakome kabisa hana bei na hawezi kuuza heshima aliyopewa na wananchi wa Iringa na wakirudia tena atawarecord ili aweze kusamabaza mitandaoni.
CCM ni kama mti wa mchrismas wanajaribu kupamba matunda yanaonekana yanang'aa kumbe ni artificial yanayopambwa na watu wachache waliokosa dira.
Uhalisia kama kweli CCM inafanya kazi au rais Magufuli anafanya kazi Aruhusu democracy ichukue mkondo wake, Aruhusu kukosolewa, Aruhusu haki za binadamu,Aruhusu utawala bora siyo hizi debe anazopigiwa na watu waliokosa dira na kutotambua nini maana ya democracy na utawala bora.
Tupo pamoja kwenye hilo mkuu, kati ya watu hawatakiwi kuaminiwa ni hawa wanasiasa tena aina ya akina MsigwaWanasiasa wanatucheza shere.sana nchi hii mi nabaki kuwa mpenzi mtazamaji.
CCMHivi chama gani makini kitamuhitaji mtu kama Msigwa na Lema, tuweni serious jamani, chama gani makini kitawahitaji??
nadhani kuna muda huwa anatania tu, unakumbuka kauli zake zile za kipindi kile?Msigwa,just piece of advice,
usitoe statement kama hizi..........
watu huwa wanafanyaga kwelii....
watu wa kawaida watachoma vitu vyako,udhanie ni adui zako kisiasa,
kuna watu mapsycho,huwa wanaafutaga tu reason ya kufanya jambo baya
Hapana usiwe muongo na usiwatukane watanzania msingwa yuko smart sana kichwan tena nadhan humfikii hata kwa theluthi siasa zisikufanye upotoshe kila kitu tuwe wakweli tusilemazwe na siasa ikatijenga katika misingi ya uongo, ungesema tu ccm haina mpango wa kumnunua msigwa inghetosha kumuita msigwa kilaza hata wana ccm wenzio watakushangaa.Nani amekwambia CCM inachukuwa kila kilaza? Wewe hata ukilazimisha huwezi kuchukuliwa CCM, IQ yako haitoshi!
Huyu pumbafff sana aseme tumchome yeye kama anadhani haiwezekani yeye kuhamia sisiemu kwanini anakimbilia kusema nyumba na magari?Sasa hata tukichoma ccm si watakulipa