it's very important to stick and focus on the motion tabled before us all rather than showing us your mayhem on other matters 🐒There is no serious case at all if you think on that perspective why you vagabonds and hooligans are crying herein as if you have been sued while you are not privy to the matter at issue, my advice to you and your fellow goons it is better you stay quiet to wait court determination, otherwise I urge you to keep clapping hands for your failed leaders of your dead party turned abductor.
Thank you for your advice...There is no serious case at all if you think on that perspective why you vagabonds and hooligans are crying herein as if you have been sued while you are not privy to the matter at issue, my advice to you and your fellow goons it is better you stay quiet to wait court determination, otherwise I urge you to keep clapping hands for your failed leaders of your dead party turned abductor.
nadhani with references with past judgements the court will clearly explain in details and determine it without fear of contradictions, just relax 🐒Political statements ndio zipi hizo? Zimeainishwa kwenye sheria gani?
Sheria haidhani, wacha utapeli wako.nadhani with references with past judgements the court will clearly explain in details and determine it without fear of contradictions, just relax 🐒
Kumbe unadhani? Pathetic!nadhani with references with past judgements the court will clearly explain in details and determine it without fear of contradictions, just relax 🐒
ongeza uelewa na ufahamu kwa nilicho andika gentleman 🐒Sheria haidhani, wacha utapeli wako.
Hakuna mahakama serious za kumchukulia hatua mwanaccm anayemtukana mpinzani. Kama yuko serious kwenda mahakamani ajue atapoteza muda na fedha. Ingekuwa mahakama za Kenya hapo sawa, sio huu utopolo wa ccm unaopigiwa simu moja tu.Mchungaji msigwa Yuko sahihi sana,
na mashtaka ya mbowe dhidi ya Msigwa are just political statements and comments, na hilo jibu la Msigwa kwamba masuala ya kisiasa yatatuliwe kisiasa ndio utakua uamuzi wa mahakama pia 🐒
hicho ndicho mahakama itakachofanya coz reference kwa dead allegations kama hizo dhaifu sana za mbowe zipo, wala hakuna mbambamba yoyote kwenye hilo 🐒Kumbe unadhani? Pathetic!
mpiga ramli mshirikina umejikatia tamaa mapema zamaaani dah 🤣Hakuna mahakama serious za kumchukulia hatua mwanaccm anayemtukana mpinzani. Kama yuko serious kwenda mahakamani ajue atapoteza muda na fedha. Ingekuwa mahakama za Kenya hapo sawa, sio huu utopolo wa ccm unaopigiwa simu moja tu.
Nasisitiza mahakama zinazojitambua ziko Kenya.mpiga ramli mshirikina umejikatia tamaa mapema zamaaani dah 🤣
🤣🤣nenda Kenya sasa na umuulize Raila Odinga mbona alienda kufungua kesi ya kupinga kushindwa kwake uchaguzi wa 2022 kwenye mahakama ya Africa Mashariki na na ile ya Africa 🤣Nasisitiza mahakama zinazojitambua ziko Kenya.
Mch. anawaza siasa mufilisi, kwa hiyo alitaka 'mtuhumiwa' wake naye aropoke majukwaani kama yeye. Halafu naona anaturudisha kwenye siasa majitaka za enzi hizo. Akumbuke hizi zama za 4R..!Ni kweli...
Inauma na kushangaza kwani bado anajitetea kuwa yeye alikuwa anafanya siasa na hivyo Freeman Mbowe asikimbilie mahakamani na badala yake ajibizane naye kisiasa hivyohivyo...
Inashangaza kuwa kauli inatoka kwa "mchungaji wa Kanisa la Mungu aliye hai...!"
Sio kila siku ni Ijumaa boss....Hakuna mahakama serious za kumchukulia hatua mwanaccm anayemtukana mpinzani. Kama yuko serious kwenda mahakamani ajue atapoteza muda na fedha. Ingekuwa mahakama za Kenya hapo sawa, sio huu utopolo wa ccm unaopigiwa simu moja tu.
Wacha kuhamisha goal posts, mabomu ya Mbowe ni separate case.Mchungaji msigwa Yuko sahihi sana,
na mashtaka ya mbowe dhidi ya Msigwa are just political statements and comments, na hilo jibu la Msigwa kwamba masuala ya kisiasa yatatuliwe kisiasa ndio utakua uamuzi wa mahakama pia 🐒
zipo, zinafanyika na zitaelezwa ufafanuzi bayana huko mahakamani na kesi itatupiliwa mbali 🐒Wacha kuhamisha goal posts, mabomu ya Mbowe ni separate case.
Ninekuuliza hizo political statements zipo kisheria?
Unataka awe mpinzani wa nini? Apinge kitu gani?Yawezekana alichosema Msigwa kuhusu Mbowe mengine ni uongo lakini Mbowe sio mpinzani. Na Mbowe anawacheza watanzania kwa uongo tu hamna lolote pale.