Mch. Peter Msigwa, kwanini umekubali kuingia kwenye mtego kirahisi hivi? Tubu, omba radhi yaishe. Mungu atakusamehe

Mch. Peter Msigwa, kwanini umekubali kuingia kwenye mtego kirahisi hivi? Tubu, omba radhi yaishe. Mungu atakusamehe

There is no serious case at all if you think on that perspective why you vagabonds and hooligans are crying herein as if you have been sued while you are not privy to the matter at issue, my advice to you and your fellow goons it is better you stay quiet to wait court determination, otherwise I urge you to keep clapping hands for your failed leaders of your dead party turned abductor.
it's very important to stick and focus on the motion tabled before us all rather than showing us your mayhem on other matters 🐒
 
There is no serious case at all if you think on that perspective why you vagabonds and hooligans are crying herein as if you have been sued while you are not privy to the matter at issue, my advice to you and your fellow goons it is better you stay quiet to wait court determination, otherwise I urge you to keep clapping hands for your failed leaders of your dead party turned abductor.
Thank you for your advice...

Nevertheless, before it goes there, there's ample chance to advice our friend Pastor Peter Msigwa to use his wisdom to run away from the danger which is ahead of him...

By the way, I am neither a vagabond nor hooligan. I therefore demand an apology for insulting my personality before I sue you to The Almighty God Court of law.......
 
Political statements ndio zipi hizo? Zimeainishwa kwenye sheria gani?
nadhani with references with past judgements the court will clearly explain in details and determine it without fear of contradictions, just relax 🐒
 
Mchungaji msigwa Yuko sahihi sana,

na mashtaka ya mbowe dhidi ya Msigwa are just political statements and comments, na hilo jibu la Msigwa kwamba masuala ya kisiasa yatatuliwe kisiasa ndio utakua uamuzi wa mahakama pia 🐒
Hakuna mahakama serious za kumchukulia hatua mwanaccm anayemtukana mpinzani. Kama yuko serious kwenda mahakamani ajue atapoteza muda na fedha. Ingekuwa mahakama za Kenya hapo sawa, sio huu utopolo wa ccm unaopigiwa simu moja tu.
 
Kumbe unadhani? Pathetic!
hicho ndicho mahakama itakachofanya coz reference kwa dead allegations kama hizo dhaifu sana za mbowe zipo, wala hakuna mbambamba yoyote kwenye hilo 🐒
 
Hakuna mahakama serious za kumchukulia hatua mwanaccm anayemtukana mpinzani. Kama yuko serious kwenda mahakamani ajue atapoteza muda na fedha. Ingekuwa mahakama za Kenya hapo sawa, sio huu utopolo wa ccm unaopigiwa simu moja tu.
mpiga ramli mshirikina umejikatia tamaa mapema zamaaani dah 🤣
 
Nasisitiza mahakama zinazojitambua ziko Kenya.
🤣🤣nenda Kenya sasa na umuulize Raila Odinga mbona alienda kufungua kesi ya kupinga kushindwa kwake uchaguzi wa 2022 kwenye mahakama ya Africa Mashariki na na ile ya Africa 🤣
 
Hii ni tanzanite bwana msigwa aje aokote haraka akaifanyie kaz yaishe.
 
Tatizo upinzani inabidi uendane na kile wanachokiubiri,shida upinzania wetu wenyewe walishakubali kuwa wafuata upepo,sasa upepo ukivuma wasulaimiane
Mwenyekiti aombe kwanza msamaha kwa yeye kukubali kufuata upepo.
 
Ni kweli...

Inauma na kushangaza kwani bado anajitetea kuwa yeye alikuwa anafanya siasa na hivyo Freeman Mbowe asikimbilie mahakamani na badala yake ajibizane naye kisiasa hivyohivyo...

Inashangaza kuwa kauli inatoka kwa "mchungaji wa Kanisa la Mungu aliye hai...!"
Mch. anawaza siasa mufilisi, kwa hiyo alitaka 'mtuhumiwa' wake naye aropoke majukwaani kama yeye. Halafu naona anaturudisha kwenye siasa majitaka za enzi hizo. Akumbuke hizi zama za 4R..!
 
Hakuna mahakama serious za kumchukulia hatua mwanaccm anayemtukana mpinzani. Kama yuko serious kwenda mahakamani ajue atapoteza muda na fedha. Ingekuwa mahakama za Kenya hapo sawa, sio huu utopolo wa ccm unaopigiwa simu moja tu.
Sio kila siku ni Ijumaa boss....

Kuna wakati hata punda anaweza kuzungumza na mwanadamu...!
 
Mchungaji msigwa Yuko sahihi sana,

na mashtaka ya mbowe dhidi ya Msigwa are just political statements and comments, na hilo jibu la Msigwa kwamba masuala ya kisiasa yatatuliwe kisiasa ndio utakua uamuzi wa mahakama pia 🐒
Wacha kuhamisha goal posts, mabomu ya Mbowe ni separate case.

Ninekuuliza hizo political statements zipo kisheria?
 
Yawezekana alichosema Msigwa kuhusu Mbowe mengine ni uongo lakini Mbowe sio mpinzani. Na Mbowe anawacheza watanzania kwa uongo tu hamna lolote pale.
 
Wacha kuhamisha goal posts, mabomu ya Mbowe ni separate case.

Ninekuuliza hizo political statements zipo kisheria?
zipo, zinafanyika na zitaelezwa ufafanuzi bayana huko mahakamani na kesi itatupiliwa mbali 🐒
 
Yawezekana alichosema Msigwa kuhusu Mbowe mengine ni uongo lakini Mbowe sio mpinzani. Na Mbowe anawacheza watanzania kwa uongo tu hamna lolote pale.
Unataka awe mpinzani wa nini? Apinge kitu gani?

Freeman Mbowe ni kiongozi wa chama siasa ambacho hakipo madarakani (hakiongozi serikali)...

Ni kiongozi shupavu wa chama cha siasa kikubwa alichokiongoza kwa mafanikio makubwa kwa takribani miaka 20 kama mwenyekiti kinachojiandaa kushinda uchaguzi na kuongoza serikali mwaka huu....

Shida ya Peter Msigwa na CCM kwa ujumla sio kitu kingine chochote kile bali ni uenyekiti wa Freeman Mbowe - CHADEMA.....

Ndiyo mission project aliyopewa na CCM kui - accomplish....

Ataweza...?
 
Back
Top Bottom