Mchaga kachemsha

Mchaga kachemsha

Freddy81

Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
99
Reaction score
3
Jamaa mmoja mwanaume alitumiwa sms na demu wake, Tatizo la ile sms ilkuwa ndefu sana,
sasa ilpoingia kwenye simu yake haikuweza kufunguka yote, baahi ya maneno hayakuonekana, kulikuwa na maneno haya mwisho wa hiyo sms
"some text missing"
Unajua jamaa alijibu vipi hiyo msg, arrooo Na mimi nimekumis kweli mpenzi!
 
it dont make sense!
 
ni kweli it doesnt make sense.
kwanza wachaga hawana lafudhi ya arooo. wanapendelea sana kusema yesuu!!! ama yesuu na maria ama babaangu. hiyo aroo ni lafudhi ya sehemu mmmm kama sikosei ni wa.........
 
Pia siajona alichokichemsha ni kipi, dalili ya mchemsho haipo.
nilitegemea kuwa kawachemsha bongo wenziwe ama kachemshwa yeye ndipo akachemka. lakini hamna chochote hapo.
 
Back
Top Bottom