Mchaga vs Mkinga

Biashara ni mtaji, wateja, management, namna ya ku take, identify na ku mitigate risk,

Namna ya ku develop business ideas na ikafanya kazi ukafanikiwa

Ishu ya ubunifu wa bidhaa zako, marketing, advertising,

Namna unavyo comply na regulators wako......

Namna ya kuweza kuwa mshindani kwenye soko, kuangalia fursa, kujua namna ya ku set price, tafiti za unachokishindania!


Ikiwa mchaga huyo ama mkinga ata ishi humo basi atakuwa vzr otherwise ni story za vijiweni na kuleta ukabila
 
Upumbavu kweli huu ! Ukabila,,, ! Focus na mambo yako na kipato chako,,, ! Utajiri wa mkinga, mchaga , msukuma hautakunufaisha au kukuletea kibaba cha unga ule na familia yako. ,,, shit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…