Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
- #41
Huu uchawi mnaosema ndio upi mkuu?Wote wezi, wote washirikina japo mmoja kati yao ana akili kuliko mwingine, huyo mmoja akiona maji ni ya moto huwa anatokaga kwanza kwenye umbwe la ushirikina na kuamua kutumia akili.