Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani inabidi utumie kwa muda mrefu kidogo sio siku mbili tatuMambo ya tiba mbadala bwana yananichanganyaga sana, maana kila mmea utaambiwa unatibu magonjwa kibao. Ila ukiumwa jaribu kuila huponi.
Amini usiamini nimeupanda vya kutosha, ila uvivu wa kuuchuma na kuchanganya kwenye chai!View attachment 588299
FAIDA MPYA YA MMEA WA MCHAICHAI....
Ukitaka kuwafukuza Mbu wanaoleta ugonjwa wa Malaria nyumbani kwako panda Mmea wa Mchaichai au weka huo Mmea
ndani ya nyumba yako kama pambo basi Mbu hawata sogea nyumbani kwako utakuwa umewaweza Mbu wana uchukia huo Mmea wa Mchaichai. Haya nimewapeni Dawa ya bure hiyo kazi kwenu.
FAIDA YA KUTUMIA MCHAICHAI KAMA TIBA NA CHAKULA
Faida za mchachai zipo nyingi sana wengi wetu hudhani mchaichai ni kuongo cha kuweka kwenye chai pekee, au ni dawa kwa ajili ya kuua mbu pekee, ila mchaichai huwa na faida lukuki zaidi ya hizo tu. Naomba uweze kusoma makala haya ili uone faida nyinginezo za mchaichai.
Zifuatazo ni faida za kutumia mchaichai kiafya.
1. Mchaichai ni kinga dhidi ya saratani.
Tafiti mbalimbali zimeonyesha kuwa kwenye kila gram 100 ya mchaichai, kuna viondosha
sumu ambavyo vina uwezo wa kuukinda mwili dhidi ya ugonjwa wa saratani. Mwaka 2006, timu ya watafiti kutoka Chuo kikuu cha Gurion, Israel waligundua mchaichai una uwezo wa kuua seli zinaweza kusababisha saratani.
2. Hutibu magonjwa ya kuhara.
Husaidia umeng’enyaji wa chakula Chai ya mchaichai hurahisisha utaratibu wa mmeng’enyo wa chakula na pia hutibu magonjwa ya kuhara na maumivu ya tumbo ikiwamo kujaa gesi.
Hurahisisha utaratibu wa kuondoa uchafu mwilini Katika matibabu, unatibu magonjwa mengi ikiwemo kushusha joto, hasa kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na malaria kali.
3. Husaidia kusafisha figo na mkojo.
Mchaichai pia una kazi ya kusafisha figo ambayo kazi yake kubwa ni kusafisha damu mwilini, kuondoa mafuta mabaya mwilini ambayo mengi yanatengenezwa na kemikali kiwandani na hivyo mwili kushindwa kuziondoa na baadaye kusasababisha magonjwa mbalimbali ikiwemo saratani.
Figo inapokuwa safi na imara, hata kazi nyingine kama kusafisha mkojo zinafanyika kirahisi kwani mkojo unapozidi kuwa mchafu mtu hujikuta akivimba mwili na wakati mwingine kufikia hata hatua ya kupoteza maisha.
4. Hupunguza maumivu wakati wa hedhi.
Mchaichai pia huwasaidia kina mama ambao wanaumwa na tumbo kipindi cha hedhi, ambao wengi wao huchukulia kama chango.
“Unapokunywa mchaichai, unawezesha kusafisha mirija ya uzazi na hivyo kuwezesha damu kupita kwa urahisi,”
5. Mchaichai hutibu vidonda vya tumbo na kupunguza kiwango cha gesi tumboni.
Hata hivyo kwa wagonjwa wanaosumbuliwa hasa na vidonda vya tumbo, mchaichai husaidia kuondoa gesi ambazo huwapata mara kwa mara.
Unachotakiwa kufanya ni ;
Kuendelea kutumia chai ambayo imepikwa kwa majani ya mchaichai mara kwa mara.
Pole sanaAmini usiamini nimeupanda vya kutosha, ila uvivu wa kuuchuma na kuchanganya kwenye chai!
Mie ndorobo kabisa...
Kama kikombe cha "Babu wa Loliondo"...Hahahahaha..😀😀😀Mambo ya tiba mbadala bwana yananichanganyaga sana, maana kila mmea utaambiwa unatibu magonjwa kibao. Ila ukiumwa jaribu kuila huponi.
Asante sana,View attachment 588299
FAIDA MPYA YA MMEA WA MCHAICHAI....
Ukitaka kuwafukuza Mbu wanaoleta ugonjwa wa Malaria nyumbani kwako panda Mmea wa Mchaichai au weka huo Mmea
ndani ya nyumba yako kama pambo basi Mbu hawata sogea nyumbani kwako utakuwa umewaweza Mbu wana uchukia huo Mmea wa Mchaichai. Haya nimewapeni Dawa ya bure hiyo kazi kwenu.
FAIDA YA KUTUMIA MCHAICHAI KAMA TIBA NA CHAKULA
Faida za mchachai zipo nyingi sana wengi wetu hudhani mchaichai ni kuongo cha kuweka kwenye chai pekee, au ni dawa kwa ajili ya kuua mbu pekee, ila mchaichai huwa na faida lukuki zaidi ya hizo tu. Naomba uweze kusoma makala haya ili uone faida nyinginezo za mchaichai.
Zifuatazo ni faida za kutumia mchaichai kiafya.
1. Mchaichai ni kinga dhidi ya saratani.
Tafiti mbalimbali zimeonyesha kuwa kwenye kila gram 100 ya mchaichai, kuna viondosha
sumu ambavyo vina uwezo wa kuukinda mwili dhidi ya ugonjwa wa saratani. Mwaka 2006, timu ya watafiti kutoka Chuo kikuu cha Gurion, Israel waligundua mchaichai una uwezo wa kuua seli zinaweza kusababisha saratani.
2. Hutibu magonjwa ya kuhara.
Husaidia umeng’enyaji wa chakula Chai ya mchaichai hurahisisha utaratibu wa mmeng’enyo wa chakula na pia hutibu magonjwa ya kuhara na maumivu ya tumbo ikiwamo kujaa gesi.
Hurahisisha utaratibu wa kuondoa uchafu mwilini Katika matibabu, unatibu magonjwa mengi ikiwemo kushusha joto, hasa kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na malaria kali.
3. Husaidia kusafisha figo na mkojo.
Mchaichai pia una kazi ya kusafisha figo ambayo kazi yake kubwa ni kusafisha damu mwilini, kuondoa mafuta mabaya mwilini ambayo mengi yanatengenezwa na kemikali kiwandani na hivyo mwili kushindwa kuziondoa na baadaye kusasababisha magonjwa mbalimbali ikiwemo saratani.
Figo inapokuwa safi na imara, hata kazi nyingine kama kusafisha mkojo zinafanyika kirahisi kwani mkojo unapozidi kuwa mchafu mtu hujikuta akivimba mwili na wakati mwingine kufikia hata hatua ya kupoteza maisha.
4. Hupunguza maumivu wakati wa hedhi.
Mchaichai pia huwasaidia kina mama ambao wanaumwa na tumbo kipindi cha hedhi, ambao wengi wao huchukulia kama chango.
“Unapokunywa mchaichai, unawezesha kusafisha mirija ya uzazi na hivyo kuwezesha damu kupita kwa urahisi,”
5. Mchaichai hutibu vidonda vya tumbo na kupunguza kiwango cha gesi tumboni.
Hata hivyo kwa wagonjwa wanaosumbuliwa hasa na vidonda vya tumbo, mchaichai husaidia kuondoa gesi ambazo huwapata mara kwa mara.
Unachotakiwa kufanya ni ;
Kuendelea kutumia chai ambayo imepikwa kwa majani ya mchaichai mara kwa mara.
Mkuu Ukiona nimeweka chakula au matunda au mboga za majani faida zake. Ujuwe inayo faida ya kila kitu huwa Faida zingine sizisemi zaidi kwa kuogopa Wafanya biashara wanakuwa wanapandisha vitu bei nikitaja kitu kwa undani zaidi faida zake.
FAIDA NYINGINE YA MCHAICHAI HUONGEZA CD4
Kwa wagonjwa wa Upungufu wa Kinga za Mwili Aka (Ukimwi), mchaichai unaelezwa kuwa unasaidia kuongeza CD4 na inashauriwa kuwa ni vyema mgonjwa wa aina hiyo akapendelea kutumia zaidi mchaichai kuliko majani ya chai.
View attachment 588313
Mambo ya tiba mbadala bwana yananichanganyaga sana, maana kila mmea utaambiwa unatibu magonjwa kibao. Ila ukiumwa jaribu kuila huponi.
Uyoga wa kichawi? Ndio upi huo mkuu na jina lake la kitaaalam linaitwajeMkuu hivi ule uyoga wa kichawi unaota mazingira ya Tanzania?
Ifike wakati na Mimi nijaribu.. Has a kutibu vidonda vya tumbo.Bro. Mambo mengi wanayosema kuhusu mimea kama tiba mbadala ni kweli kabisa 100% inatibu.
ILA si kwa mara moja. Maana yake ni kwamba ukitumia kama chakula hutakaa kuugua ugonjwa ambao huo mmea unatibu.
NA MIMI NIWAPE FAIDA YA KUTUMIA Unga wa HABBAT SODA.
NIMETHIBITISHA.baada ya kusoma majarida mbali mbali na kwa makala mbalimbali kuhusu Habbat soda (Black seed) nilichanganyikiwa kwa sababu kila andiko linathibitisha ni dawa kwa magonjwa mengi sana, Na wakati mmoja wanasema inatibu kila kitu isipokuwa Kifo.
Niliamua kutoka moyoni kuanza kununua unga wa habbat soda kama 1/4 kilo(kumbuka habbat soda ya unga ndiyo bei raisi kuliko mafuta) na kujiamulia kuweka kwenye maji ya Moto na kunywa kama chai na kufanya ni kama mtindo wa maisha yangu kunywa hivyo kila siku.
Leo ni zaidi ya miaka 8 sijawahi kuumwa ugonjwa wowote si kichwa si tumbo, si tyfodi, si kaswende hayo yote ninasikiaga majirani na familia yangu wakiugua.(familia na marafiki wanaona kutumia mimea kama tiba ni ushamba).
NB: mara kwa mara nimekuwa nikijihisi labda nina maralia au typhodi na kujaribu kwenda kupima hospital. Mara zote majibu ni kwamba huna ugonjwa wowote ni uchovu tu na kupewa palnado.
Tunaangamia kwa Kukosa maarifa: Jifanye mjinga Tumia kama chakula kila siku ( kama una tatizo/ugonjwa tumia miezi 2 utaona mabadiliko) na usitumie kama dawa.
Next nitawaambia dawa nyingine.