Mchaichai (Lemon Grass) na faida zake kwa matumizi ya mwanadamu

Angalau sasa watanzania tumeanza kujua umuhimu! wa asili yetu sio kila kitu viwandani.

Maana wengi walijua ni nyasi za ng'ombe tu.
 
Asante kwa taarifa Mbu siwapendi, ili mmea ukuwe unahitaji mwanga wa jua, nashindwa kupanda kwenye geto ndani
 
Mambo ya tiba mbadala bwana yananichanganyaga sana, maana kila mmea utaambiwa unatibu magonjwa kibao. Ila ukiumwa jaribu kuila huponi.
 
Amini usiamini nimeupanda vya kutosha, ila uvivu wa kuuchuma na kuchanganya kwenye chai!
Mie ndorobo kabisa...
 
Asante sana,
Nimeshangaa kutoona namba za simu chini ya Maelezo yako
 
Mkuu hivi ule uyoga wa kichawi unaota mazingira ya Tanzania?
 

Faida mpya ya mmea wa mchaichai - JamiiForums
 
Mambo ya tiba mbadala bwana yananichanganyaga sana, maana kila mmea utaambiwa unatibu magonjwa kibao. Ila ukiumwa jaribu kuila huponi.

Bro. Mambo mengi wanayosema kuhusu mimea kama tiba mbadala ni kweli kabisa 100% inatibu.

ILA si kwa mara moja. Maana yake ni kwamba ukitumia kama chakula hutakaa kuugua ugonjwa ambao huo mmea unatibu.


NA MIMI NIWAPE FAIDA YA KUTUMIA Unga wa HABBAT SODA.

NIMETHIBITISHA.baada ya kusoma majarida mbali mbali na kwa makala mbalimbali kuhusu Habbat soda (Black seed) nilichanganyikiwa kwa sababu kila andiko linathibitisha ni dawa kwa magonjwa mengi sana, Na wakati mmoja wanasema inatibu kila kitu isipokuwa Kifo.

Niliamua kutoka moyoni kuanza kununua unga wa habbat soda kama 1/4 kilo(kumbuka habbat soda ya unga ndiyo bei raisi kuliko mafuta) na kujiamulia kuweka kwenye maji ya Moto na kunywa kama chai na kufanya ni kama mtindo wa maisha yangu kunywa hivyo kila siku.

Leo ni zaidi ya miaka 8 sijawahi kuumwa ugonjwa wowote si kichwa si tumbo, si tyfodi, si kaswende hayo yote ninasikiaga majirani na familia yangu wakiugua.(familia na marafiki wanaona kutumia mimea kama tiba ni ushamba).

NB: mara kwa mara nimekuwa nikijihisi labda nina maralia au typhodi na kujaribu kwenda kupima hospital. Mara zote majibu ni kwamba huna ugonjwa wowote ni uchovu tu na kupewa palnado.

Tunaangamia kwa Kukosa maarifa: Jifanye mjinga Tumia kama chakula kila siku ( kama una tatizo/ugonjwa tumia miezi 2 utaona mabadiliko) na usitumie kama dawa.

Next nitawaambia dawa nyingine.
 
I
Ifike wakati na Mimi nijaribu.. Has a kutibu vidonda vya tumbo.
 
Kumbe haya majan hapa nje yanafaida hivi..ngoja nianze kuyatumia..je kwa sisi ambao sio wapenz wa chai tunaweza kutumia mchai chai pekee au hata kuchanganya na tangawizi badala ya majan ya chai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…