Ni hatari kumpunguzia Rais Madaraka. Ni hatari sana hasa kwa nchi zetu hizi.. Ni hatari kweli kweli.. Natamani ungenielewa!Hiyo siyo sahihi! Kumpunguzia rais madaraka kunamfanya rais afanye kazi kwa weledi na uaminifu zaidi. Sababu akifanya kinyume, wawakilishi wa wananchi na wananchi wenyewe waliomchagua ndiyo watamwajibisha. Hata kwa katiba mpya ataendelea kufanya vizuri kama rais ilimradi atafanya kazi yake kwa misingi ya sheria na katiba. Siyo kukurupuka tu hatutaki mambo hayo.
Rais ndiyo mkuu wa serikali ya muungano wa jamhuri ya Tanzania sawa? Na serikali yake ndiyo inayotoa mikakati na vipaumbele vyote miaka yake 5 ikiwa madarakani. Hivyo yeye kama rais amewapa mawaziri wake majukumu na vipaumbele vya wizara zao..Hivi Rais Magufuli amehusikaje kukwamisha mchakato wa Katiba?
Watanzania bhana watu wa ajabu sana! Sasa mmeandaliwa Katiba nzuri, mkapendekezewa.. Hamtaki! Mnakuwa kama Raila Odinga bhana..
Kimsingi sioni haja ya kurudia mchakato........ Kama tunataka katiba mpya, ipo iliyopendekezwa, tuipigie kura, finish!
Kinyume na hapo, basi tuendelee tu na hii..
Tusipoteze muda na pesa kwa mambo yasoisha, ebo!

Hivi Rais Magufuli amehusikaje kukwamisha mchakato wa Katiba?
Siyo hatari ni vizuri kwa faida ya wananchi. Sasa mfano rais wa sasa anatumia baadhi madaraka kufanya mambo mazuri ambavyo ni sawa OK? Sasa ukimpata rais mwingine mfano fisadi na umeshampa madaraka mengi kama hayo utamfanya nini? Na mfano mdogo ni hata Magufuli mwenyewe kaanza kupinda katiba yenyewe sasa huo siyo utawala bora. Rais ni wa watanzania wote umeapa kutetea katiba ya jamhuri wa muungano sawa? Sasa mfano: Rais unawahukumu baadhi wa watanzania kwa kosa la kughushi vyeti na unamwacha mwingine eti kwa sababu ni mfanyakazi mzuri hata kama kaghushi vyeti! Kwani hata wale waliofukuzwa si walikuwa wafanyakazi wazuri pia.. It doesn't make any sense that is hypocrisy and very unfairly.Ni hatari kumpunguzia Rais Madaraka. Ni hatari sana hasa kwa nchi zetu hizi.. Ni hatari kweli kweli.. Natamani ungenielewa!
Watanzania bhana watu wa ajabu sana! Sasa mmeandaliwa Katiba nzuri, mkapendekezewa.. Hamtaki! Mnakuwa kama Raila Odinga bhana..
Kimsingi sioni haja ya kurudia mchakato........ Kama tunataka katiba mpya, ipo iliyopendekezwa, tuipigie kura, finish!
Kinyume na hapo, basi tuendelee tu na hii..
Tusipoteze muda na pesa kwa mambo yasoisha, ebo!
Hivi Rais Magufuli amehusikaje kukwamisha mchakato wa Katiba?
Rasimu ya katiba hii ni bora kuliko katiba ya sasa. Tatizo Rais Magufuli haitaki sababu anajua itambana na yeye pia kwenye majukumu yake na yeye hataki. Yuko hiari mabilioni ya pesa za walipa kodi zipotee kuliko kupatatika na kwa katiba hii. Sasa yeye kama mzalendo na uchungu wa rasilimali za watanzania. Kwa nini hana uchungu wa mabilioni ya haya yaliyotumika kwa mchakato wa katiba mpya?? Tena ni ya kwao CCM wenyewe?
Sijui umekopi wapi
Uwelewa wako ndogo au ni kibaraka wa kina Chenge unatetea ufisadi!!Watanzania bhana watu wa ajabu sana! Sasa mmeandaliwa Katiba nzuri, mkapendekezewa.. Hamtaki! Mnakuwa kama Raila Odinga bhana..
Kimsingi sioni haja ya kurudia mchakato........ Kama tunataka katiba mpya, ipo iliyopendekezwa, tuipigie kura, finish!
Kinyume na hapo, basi tuendelee tu na hii..
Tusipoteze muda na pesa kwa mambo yasoisha, ebo!
Mkuu maoni mazuri .Hiyo siyo sahihi! Kumpunguzia rais madaraka kunamfanya rais afanye kazi kwa weledi na uaminifu zaidi. Sababu akifanya kinyume, wawakilishi wa wananchi na wananchi wenyewe waliomchagua ndiyo watamwajibisha. Hata kwa katiba mpya ataendelea kufanya vizuri kama rais ilimradi atafanya kazi yake kwa misingi ya sheria na katiba. Siyo kukurupuka tu hatutaki mambo hayo.
Hilo bunge lilikuwa mkusanyiko wa taasisi na mafisadi wa CCM, wakitetea wizi wao kina Chenge.Binafsi naona mchakato wa katiba ulianza kupotezwa na jaji warioba mwenyewe kwa kuto heshimu maoni ya wengine. Mchakato ulikuwa na vipengele muhimu kadhaa, baadhi ni ukusanyaji wa maoni ya wananchi, kuyachambua, na lililokuwa la mwisho, ambalo ni muhimu kabla ya kupiga kura, ni bunge la katiba. Hapa ndipo babu alipotuyumbisha. Kazi kubwa ya bunge la katiba ilikuwa kuijadili rasimu ya katiba na SI KUIPITISHA. Sasa mzee Warioba na ukawa walitaka ipitishwe, jambo ambalo lilikuwa halileti maana ya kuwa na bunge la katiba. Ninavyojua mimi, majadiliano yanaweza kupunguza, kuongeza au kuondoa baadhi ya vitu. Hivi mnawezaje watu zaidi ya 300 kujadili kitu kimoja mkawa na mawazo sawa?
Kweli tunahitaji katiba mpya, ila kama mchakato utakuwa ni uleule wa kuwa na bunge, basi ni lazima tuheshimu mawazo ya bunge sababu kupeleka maoni yetu kule ina maanisha mawazo ya wananchi sio ya mwisho ila ya bunge la katiba.
Kwahiyo tusijitoe ufahamu wakujifanya kutokujua nafasi ya bunge la katiba.
NARUDIA TENA, KAMA TUNATAKA KATIBA YENYE MAWAZO YA WANANCHI PEKE YAO, BASI KUSIWEPO NA BUNGE LA KATIBA.