yeah na sumari will be constructing a-level domitories and classes wakati hana div 1 hata moja ya kusomea hapo na shule ya kata inatoa div 0 nyingi kuliko 3... sijui walishachagua hata combination ya hizo shule?tlp kusogeza masoko kwaajili ya kina mama. vijana kuwezeshwa shule za ufundi,vijana kupewa mashamba sababu hawana mashamba
hilo swali ndilo wamelikimbia CCMswali je watapambana vipi na ufisadi
da hawa wagombea wengine pumba tu mgombea wa chadema anaweza kujiona bingwa kwakuwa wa ccm hayupo