Elections 2010 Mchakato majimboni live TBC - Arumeru Mashariki

Elections 2010 Mchakato majimboni live TBC - Arumeru Mashariki

Paul S.S

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
6,407
Reaction score
3,260
Waungwana nime washa tv naona live mdahalo wagombea ni wa nne tu, chadema cuf, udp tlp
mgombea wa chadema anonekana muelewa zaidi
swali la kwanza wanamikakati gani kwa akinamama, vijana,na walemavu
 
nasari is rocking!!! makamba was right kubeba mpira kwapani

dogo ana data current na hana mpinzani kwenye hoja, labda pesa maana lowassa na sumari ni wazazi wenza, binti ya lowassa kaolewa na kijana wa sumari so lazma wabebane
 
tlp kusogeza masoko kwaajili ya kina mama. vijana kuwezeshwa shule za ufundi,vijana kupewa mashamba sababu hawana mashamba
 
Huyu kijana wa chadema amewafunkia vibaya sana hawa wagombea wengine. Kwa kweli CHADEMA wamesimamisha wagombea makini sana. Na inaonekana kijana anakubalika mno, aliposimama tu ukumbi mzima ulighubikwa na shangwe, japokuwa alikuwa nervous kidogo lakini anaweza kupangilia mambo. Hakika anauwezo wa kujenga hoja mjengoni, lakini si hawa wengine.
 
tlp kusogeza masoko kwaajili ya kina mama. vijana kuwezeshwa shule za ufundi,vijana kupewa mashamba sababu hawana mashamba
yeah na sumari will be constructing a-level domitories and classes wakati hana div 1 hata moja ya kusomea hapo na shule ya kata inatoa div 0 nyingi kuliko 3... sijui walishachagua hata combination ya hizo shule?
 
chadema tatizo siopesa tatizo vipaumbele kuunda vikundi ya vijana na kuwawezesha, da anaongea kama nvua ila anpiont nzuri
 
nasare ana data, hao wengine ni perepete
 
swali adazilifutwa sasa zimekuja kwa staili ingine mchango wa mlinzi mara dawati, je watafanyaje na wakipata wanakimbilia dar
 
tlp anajikanyaga na hajui kama lipo hajajibu swali
 
Mgombea wa TLP ni PUMBA kama mwenyekiti wake wa chama
 
cuf utaratibu ni mbovu tu ataurekebisha na hata ondoka kwenda dar
 
da hawa wagombea wengine pumba tu mgombea wa chadema anaweza kujiona bingwa kwakuwa wa ccm hayupo
 
Mwendesha kipindi anamkwepa kijana wa Chadema kwa kutomchagua kujibu maswali, anaona kijana anapata umaarufu kupita kiasi. Hakika hiki kipindi ndo kinaichimbia kaburti CCM
 
da kashukuru kupata swali la ufisadi, atafanya kama slaa ambaye sawa na wabunge 100 wa ccm anaongea huyoo
 
i like the confidence of the young man!!! good one
 
da hawa wagombea wengine pumba tu mgombea wa chadema anaweza kujiona bingwa kwakuwa wa ccm hayupo

Sisi tuna assume kwamba kama hawa waliokuja wapo hivi, huyo wa CCM ndo worse zaidi, so CHADEMA KASHINDA
 
Back
Top Bottom