Welcome back long lost son of JF.
Tutakuangalia na ku coment, ila kwa vile chama fulani hakipo, hizi debate zimepoteza sana flavour, hivyo kuonekana walkover the baadhi yenu, kama ulivyokuwa mdahalo wa Seif kule ZNZ ila ni muhimu tukakusikia ukimwaga sera zenu/zako, most importantly ni conclusion yako kama utamuombea kura mgombea wenu, au utachukua Mrema style kujipigia debe la ubunge na kumpigia muungwana la urais.
Thanks for info.