Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Tathimini za kina ziwe zinafanyika kabla ya kufanya ujenzi wowote pia uasili wa eneo husika ni muhimu mno kuzingatiwa mfano hapo kigogo kabla ya kupeleka barabara mpaka magomeni kulikuwa na water bawl ya maji na daraja lilikuwa kule shule ya msingi rutihinda inamaana eneo lote lile lilikuwa beseni la maji kabla ya kuyapeleka taratibu jangwani rasmi yakatulia then yakapita taratibu nyuma ya jangwani sec azania sec to salender infact TUMEINGILIA NJIA AU MAKAO YA MAJI NA NDIO CHANZO CHA HAYA YOTEFlyover za magari watajenga sawa kisha wajenge flyover za majumba maeneo ya jangwani ndo watu waendelee kuishi