Kwahiyo aache kupambana? Ni rais wa awamu gani aliyeweza?Ndio kazi yenu CCM kuhonga honga. Mwenyekiti wenu kashindwa kupambana na rushwa ndani ya CCM, ya nchi atayaweza?
Hahahahaaaa,,,,,kipaumbele chake ni kuua CDMHata mkuu wao huwa anakata fungu kwa wapinzani tusishange hivi vifaranga
Swissme