Mchakato wa ajira za ualimu mwaka 2025 si wa haki, umekaa upendeleo

According to Nyerere...
According to Newton's...
According to Lenin....
According to Lincoln....
Mbona hawa ni mifano ya philosophers na tunajua waliamini Nini?
Hayo maswali ni level gani ya cognitive domain?

Je yana lengo la kupima nini? Au nikurudishe shule ndugu engineer?
 
Hayo maswali ni level gani ya cognitive domain?

Je yana lengo la kupima nini? Au nikurudishe shule ndugu engineer?
Yanapima uelewa
Kwaiyo wewe shule hukujifunza
Newton's law of motion
Archimedes principle
Nyerere socialism
Au hujui haya ni mawazo ya watu na inatakiwa uyajue, tuone uelewa wako
 
Yanapima uelewa
Kwaiyo wewe shule hukujifunza
Newton's law of motion
Archimedes principle
Nyerere socialism
Au hujui haya ni mawazo ya watu na inatakiwa uyajue, tuone uelewa wako
Unajua theory yoyote ya evaluation and assessment?

Kiufupi hapo unatumia uelewa wa kichwa butu na sio kilichoenda shule

Ndio shida ya kuweka watunga sera weupe kichwani matokeo ni kama haya sasa wewe ukute ukifanya iyo pepa utapita kwa janja janja ukija huku wajifanya kutoa ushuhuda wa umbumbu wako rudi shule siwezi kuhojiana na mtu mweupe kichwani kagoogle urudi na ABC
 
Saili zanatakiwa kua fair mtu ashindwe mwenyewe sio kuvujisha pepa na in irregularities kibao ZINAZO lalamikiwa na wadau
Upo sahihi mkuu watu hatulalamikii kuwepo kwa usaili ila at least uwe fair and inclusive ila wengi humu wanaleta ukongwe uchwara
 
Wapuuzi tu hao mkuu
Watakaofaulu hizo interview ni wale graduate wa miaka miwili au mitatu iliopita.
Tafuta tu ela mkuu, ajira miyeyusho
Wanatesa watanzania wenzao Bure kabisa
 
Njoo tulime acha uvivu
 
Mungu atawalaani machozi ya Hawa ndugu zetu yatawalilia daima
 
Kwanini wasile pisi kali?
Hata ukiajiriwa haina maana umetengwa na mtaa
 
Nilikataa kulima nikatimkia town nibora niwe machinga kuliko niwe mkulima sekta ya kilimo ni zaidi ya utumwa
Huna unalolijua kuhusu kilimo
Kwa akili hizi hebu pambania interview ya ualimu ukafundishe vishazi ulipwe laki 5 Kwa mwezi
 
Mtihani wa geogaraphy haukuwa na title ya geography hii imekaaje kwa upande wako
Mwalimu unatakiwa kuwa na

1. Subject content knowledge (knowledge ya somo/masomo unayofundisha)
2. Pedagogical content knowledge (Teaching methods, psychology of teaching and learning, curriculum)

Mtihani unaweza kulala popote kati ya hizi sehemu mbili sio lazima uletewe maswali ya subject content knowledge (e.g. Geography)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…