Mchakato wa ajira za ualimu mwaka 2025 si wa haki, umekaa upendeleo

Mchakato umejaa manyanyaso Kwa vijana wasio na ajira Wala kipato kinachoeleweka kuanzia kwenye utumaji maombi ya kazi. Vijana walitakiwa kucertify vyeti vyao Kwa mwanasheria/wakili/hakimu yeyote yule, hii ilihitaji pesa kama Hauna basi umekula kwako.

Kwenye interview napo pamejaa mambo ya hovyo hovyo mfano badala ya kufuata Sheria ya utumishi ya 50% wao wana lala na kuamka na pass mark Yao.

Wenye nafasi(viongozi wa psrs na wizara Kwa ujumla wameamua kuwatafutia nafuu ndg zao ya kupata kazi Kwa upendeleo bila kuhojiwa na yeyote. Mfano kama walikuwa na Nia njema Kwa wahitimu waliokaa muda mrefu mfano miaka 10,09, n.k hapakuwa na ulazima wa kuchukua maombi kuanzia 2015 Hadi 2023 badala yake wangechukua kuanzia 2015 Hadi 2018 ili kuwashindanisha waliokaa muda mrefu na kuondoa bias.

Baadhi ya walimu wamepewa oral interview pekee na wengine written na oral interview. Walitakiwa wawafanyie waombaji wote usaili unaofanana Kwa wote. Kwa Nini wengine wahojiwe na wengine wafanye mtihani??

Acheni kutesa watanzania wenzenu kisa tu mna nafasi serikalini au katika kufanya maamuzi maana mnawaumiza sana watanzania wenzenu.
Na pepa zinavujishwa ni mfuko wako mkuu..
Ni Bora mwalimu alie PATA 40% kwenye hio APTITUDE TEST kuliko mwalimu alie desa na kupata 80%

Na mwalimu ni content/ mwalimu sio G.P.A mwalimu mzur hapatikani kwa MITIHANI ya multiple choice questions Wana faili Sana.

Ndugu WATANZANIA amkeni pambania Maisha hata nje ya mfumo wa serikali Maisha yanawezekana
 
Yaani ni shida tu. Kuna vituo vingine baadhi walifanyia interview special room. Ndo ujue hii nchi inaliwa na wachache tu.

Ulizia waliofanyia usaili Morogoro mjini watakwambia kuwa Kulikuwa na orodha toka mahali Fulani yenye upekee.
 
Ajira za serikali sio haki yako na kama unaamini umepokwa haki yako nenda mahakamani, hapa jamii forums hutapata msaada,
Kwanini hizo ajira msizisusie tu, maslahi kiduchu laki 5 mwezi nzima ndo unalia hivi.
Zingekuwa kazi za TRA, Uhamiaji vip
Kazi zenye hela
Ualimu utapata pesa ndogo ambayo hutakaa ule pisi kali, unywe bia, uendeshe gari
Sasa hiyo kazi Gani
Ipongeze serikali inawaepusha na umasikini wa kudumu
Mtaa una kila kitu babu
 
Utumishi wanafanya haki, ila haujatambua tu hii kitu.

Kulalamika kwenu walimu tulitarajia maana mlizoea zoa zoa bila interview hadi mkawa hamjui michakato ya Ajira kupitia Utumishi.
Mkuu kwa kada ambapo ushindani ni mdogo au watu ni wachache lazima muone wanatenda fea ila hizi za watu 27,000 per subject huku 300 ndio wanahitajika sarakasi ni nyingi sana

Ukizungumza neno haki unatakiwa umaanishe kweli ya haki sio fault kama anazoelezea mtoa mada ila kuwa kwake mwalimu ndio kunamponza
 
Ajira za serikali sio haki yako na kama unaamini umepokwa haki yako nenda mahakamani, hapa jamii forums hutapata msaada,
Kwanini hizo ajira msizisusie tu, maslahi kiduchu laki 5 mwezi nzima ndo unalia hivi.
Zingekuwa kazi za TRA, Uhamiaji vip
Kazi zenye hela
Ualimu utapata pesa ndogo ambayo hutakaa ule pisi kali, unywe bia, uendeshe gari
Sasa hiyo kazi Gani
Ipongeze serikali inawaepusha na umasikini wa kudumu
Mtaa una kila kitu babu
Kuna mahali unakosea sana hivi ni kweli hujui haki yako kama mtanzania wa nchi hii?

Basi nenda kule kwenye uzi wa kwanini utumishi wanachelewa kuita watu kazini nao nenda kawaambie waache porojo waende mahakamani
 
Ajira za serikali sio haki yako na kama unaamini umepokwa haki yako nenda mahakamani, hapa jamii forums hutapata msaada,
Kwanini hizo ajira msizisusie tu, maslahi kiduchu laki 5 mwezi nzima ndo unalia hivi.
Zingekuwa kazi za TRA, Uhamiaji vip
Kazi zenye hela
Ualimu utapata pesa ndogo ambayo hutakaa ule pisi kali, unywe bia, uendeshe gari
Sasa hiyo kazi Gani
Ipongeze serikali inawaepusha na umasikini wa kudumu
Mtaa una kila kitu babu
Sawa babu. Lakini kwanini kuwe na upendeleo mara wengine wafanyie chumba Chao Tena wasomwe majina hadharani ili kutuongezea maumivu?
 
Naungana na wewe Ila ili mtu aweze kusanuka anaitaji mtu wa kumfumbua macho.
Nikimaanisha ukiona AUTOMOTIVE uione fulsa yaan ukiona magari, mapikipiki,ma bajaji UWAZE KUUZA ENGINE OIL

Upate connection uingie kwenye mfumo ulijue soko then uanze kupambana

Mfano industry ya pharmaceutical ujue machimbo uweze kupata capital kiasi uanze ku excute plans

Kwa nafasi yako kila mmoja wetu unaweza kusaidia kum unlock 🔓 kijana mmoja tukabadilisha hizi tabia tulizo rithi kutoka kwa wazazi wetu KUA SOMA ILI UAJIRIWE SERIKALINI

Strong 💪 💪
 
Sawa babu. Lakini kwanini kuwe na upendeleo mara wengine wafanyie chumba Chao Tena wasomwe majina hadharani ili kutuongezea maumivu?
Kama mambo yapo ndivyo sivyo na una uhakika nenda mahakamani
We una haki unaandika tu hapa
Umesoma jiamini kadai haki yako
 
Kuna uzi humu kada wa labaratory technician aliwahi kulalamika kuwa wametolewa maswali ya maabara za shule sio hospital mkaja na hoja kuwa madoctor wanalialia kisa wamezoea vya zoa zoa leo hii mnaponda na walimu the same

Kifupi nyie mnajiona mko juu sana kuliko kada zingine na mnaona walimu ni mafala na masikini basi hamjibu hoja za msingi

Nimekuuliza kwenye geogaraphy kuna swali linasema "according to elton's theory guidance and councelling should done....

Swali kama hilo huwezi kulijibu bila kumsoma huyo mtu sasa kama inatokea vyuo baadhi au programme uliyosoma haikuwa na hiyo course ya guidance and councelling wakulaumiwa ni nani? Je wewe unaonaje
Mwalimu una kichwa kizito sana.

Unataka umpangie msaili swali la kukuuliza.

Inaonekana darasani ulikuwa unameza na sio kuelewa.

Jitahidi kubadirika kama unataka kupenya PSRS tofauti na hapo utashinda unalalamika sana humu ndani.
 
Naungana na wewe Ila ili mtu aweze kisanuka anaitaji mtu wa kumfumbua macho.
Nikimaanisha ukiona AUTOMOTIVE uione fulsa yaan ukiona magari, mapikipiki,ma bajaji UWAZE KUUZA ENGINE OIL

Upate connection uingie kwenye mfumo ulijue soko then uanze kupambana

Mfano industry ya pharmaceutical ujue machimbo uweze kupata capital kiasi uanze ku excute plans

Kwa nafasi yako kila mmoja wetu unaweza kusaidia kum unlock 🔓 kijana mmoja tukabadilisha hizi tabia tulizo rithi kutoka kwa wazazi wetu KUA SOMA ILI UAJIRIWE SERIKALINI

Strong 💪 💪
Hakika yaani mtu anapambana apate kazi ya kufundisha vishazi huru huko Tandahimba na mshahara wa laki 5 ambayo hiyo pesa boda tu pale Mbagala anaipata ndani ya wiki 2
 
Mchakato umejaa manyanyaso Kwa vijana wasio na ajira Wala kipato kinachoeleweka kuanzia kwenye utumaji maombi ya kazi. Vijana walitakiwa kucertify vyeti vyao Kwa mwanasheria/wakili/hakimu yeyote yule, hii ilihitaji pesa kama Hauna basi umekula kwako.

Kwenye interview napo pamejaa mambo ya hovyo hovyo mfano badala ya kufuata Sheria ya utumishi ya 50% wao wana lala na kuamka na pass mark Yao.

Wenye nafasi(viongozi wa psrs na wizara Kwa ujumla wameamua kuwatafutia nafuu ndg zao ya kupata kazi Kwa upendeleo bila kuhojiwa na yeyote. Mfano kama walikuwa na Nia njema Kwa wahitimu waliokaa muda mrefu mfano miaka 10,09, n.k hapakuwa na ulazima wa kuchukua maombi kuanzia 2015 Hadi 2023 badala yake wangechukua kuanzia 2015 Hadi 2018 ili kuwashindanisha waliokaa muda mrefu na kuondoa bias.

Baadhi ya walimu wamepewa oral interview pekee na wengine written na oral interview. Walitakiwa wawafanyie waombaji wote usaili unaofanana Kwa wote. Kwa Nini wengine wahojiwe na wengine wafanye mtihani??

Acheni kutesa watanzania wenzenu kisa tu mna nafasi serikalini au katika kufanya maamuzi maana mnawaumiza sana watanzania wenzenu.
Wapuuzi tu hao mkuu
Watakaofaulu hizo interview ni wale graduate wa miaka miwili au mitatu iliopita.
Tafuta tu ela mkuu, ajira miyeyusho
 
Wee jamaa unajiona wamaana sana na bora kuliko mwingine kila la kheri mkuu na hongera kwa kutokuwa mwalimu maana sisi walimu ni mazwazwa sana ila maengineer na ma IT ni vichwa sana kama wewe
Sijasema mm n kichwa wala hakuna mahali nimesema waliosoma tofauti na ualimu n vichwa, nyie waalimu mnazingua kinoma kwann hamtaki usaili wakati kila kada wanafanyiwa usaili hata nafasi moja kwa watu elfu?
 
Back
Top Bottom