Mchakato wa ajira za ualimu mwaka 2025 si wa haki, umekaa upendeleo

Mchakato wa ajira za ualimu mwaka 2025 si wa haki, umekaa upendeleo

Mchakato umejaa manyanyaso Kwa vijana wasio na ajira Wala kipato kinachoeleweka kuanzia kwenye utumaji maombi ya kazi. Vijana walitakiwa kucertify vyeti vyao Kwa mwanasheria/wakili/hakimu yeyote yule, hii ilihitaji pesa kama Hauna basi umekula kwako.

Kwenye interview napo pamejaa mambo ya hovyo hovyo mfano badala ya kufuata Sheria ya utumishi ya 50% wao wana lala na kuamka na pass mark Yao.

Wenye nafasi(viongozi wa psrs na wizara Kwa ujumla wameamua kuwatafutia nafuu ndg zao ya kupata kazi Kwa upendeleo bila kuhojiwa na yeyote. Mfano kama walikuwa na Nia njema Kwa wahitimu waliokaa muda mrefu mfano miaka 10,09, n.k hapakuwa na ulazima wa kuchukua maombi kuanzia 2015 Hadi 2023 badala yake wangechukua kuanzia 2015 Hadi 2018 ili kuwashindanisha waliokaa muda mrefu na kuondoa bias.

Baadhi ya walimu wamepewa oral interview pekee na wengine written na oral interview. Walitakiwa wawafanyie waombaji wote usaili unaofanana Kwa wote. Kwa Nini wengine wahojiwe na wengine wafanye mtihani??

Acheni kutesa watanzania wenzenu kisa tu mna nafasi serikalini au katika kufanya maamuzi maana mnawaumiza sana watanzania wenzenu.
Pole sana mkuu. Sio haki kabisa mtu amemaliza maiaka ya 2015s uje mshindanishe na mtu wa 2023s aise yan it's not fair kabisa.
 
Mtaliwa sana vichwa.

Ule ni usaili sio mtihani wa Geography.

Hivi Walimu mnajua aptitude test huwa na maswali mchanganyiko ya Kingereza, Hesabu na ya uelewa?

Una miaka 32 kazini, Unajua maana ya usaili wa mchujo?

Kwenye mazingira ambayo kila mwomba ajira ana sifa ya kuitwa kwenye usaili unafanyaje kupata watu wa kuwafanyia uasili wa mahojiano ili kupata mtu wa kumpa kazi?
Kwahiyo hata ukiulizwa out of context and content kwakuwa ni aptitude test ni sawa

Mfano kwenye test ya geogaraphy kuna maswali ya counseling and guidance ambayo baadhi ya vyuo hapa nchini hizo course hawasomi wote wanaochukua education wewe kwako walionaje na hili
 
Kwa matokea haya, hata Mm ningeilaumu utumishi ili kuficha upumbavu wangu 😂

View attachment 3224749
Hayo ni matokeo ya waliofanya written na baadae oral interview. Je waliofanya oral interview wametumia kigezo Gani kubatilisha kufanya kwao mtihani?? Wamejuaje kama wasingepata matokeo ya hovyo au wangefanya vizuri??
 
Mchakato umejaa manyanyaso Kwa vijana wasio na ajira Wala kipato kinachoeleweka kuanzia kwenye utumaji maombi ya kazi. Vijana walitakiwa kucertify vyeti vyao Kwa mwanasheria/wakili/hakimu yeyote yule, hii ilihitaji pesa kama Hauna basi umekula kwako.

Kwenye interview napo pamejaa mambo ya hovyo hovyo mfano badala ya kufuata Sheria ya utumishi ya 50% wao wana lala na kuamka na pass mark Yao.

Wenye nafasi(viongozi wa psrs na wizara Kwa ujumla wameamua kuwatafutia nafuu ndg zao ya kupata kazi Kwa upendeleo bila kuhojiwa na yeyote. Mfano kama walikuwa na Nia njema Kwa wahitimu waliokaa muda mrefu mfano miaka 10,09, n.k hapakuwa na ulazima wa kuchukua maombi kuanzia 2015 Hadi 2023 badala yake wangechukua kuanzia 2015 Hadi 2018 ili kuwashindanisha waliokaa muda mrefu na kuondoa bias.

Baadhi ya walimu wamepewa oral interview pekee na wengine written na oral interview. Walitakiwa wawafanyie waombaji wote usaili unaofanana Kwa wote. Kwa Nini wengine wahojiwe na wengine wafanye mtihani??

Acheni kutesa watanzania wenzenu kisa tu mna nafasi serikalini au katika kufanya maamuzi maana mnawaumiza sana watanzania wenzenu.
Kaka kama umefeli mtihani acha kulia lia huku njia iliyotumika ndio sahihi kapisa na yauwazi, hakuna njia nyingne halali zaid ya hii kama wewe nikilaza ukategemea kwenda kufelisha watoto wetu umefili kabla ya kuwafelisha
 
Kuna waalimu walipata 0
Kupata zero ni matokeo tu. Je wale waliofanyiwa oral pekee walijuaje kama hawatapata zero au watafanya vizuri??

Kitu kingine, si vyuo vyote vinafundisha course sawa za ualimu. Kuna theories zingine baadhi ya vyuo hawafundishi, je kuwapa mtihani mmoja ulio sawa nchi nzima uliozingatia wahitimu wa chuo kimoja let say UDSM unakuwa unawatendea haki wanavyuo wengine?? Ndiyo maana nasema hawajatenda haki.
 
Hata ukishitak kwa rais, moto uko pale pale 😂
Ndiyo maana tunataka reform ya mifumo yetu yote. Haiwezekani tuwe tunapelekwa pelekwa tu Kwa utashi wa mtu mmoja au kikundi badala ya mfumo unavyotaka.
Yaani wao waangalie perdiem zao tu tuwachukulie poa siyo sawa.
Kama watu wamepata above 50 % wote wafanyiwe usaili wa mahojiano na wabaki database hata kama wataanza kuwachukua hao wenye 90+ plus lakini watakuwa wanachukua pole pole mwishowe watawamaliza. Hii ya kusababishana hasara watoto wa kitanzania haikubaliki hata kidogo.
 
Hawana akili,mtu umekaa miaka zaidi ya mitano mtaani halafu bado unakimbilia hizo ajira! Miaka mitano na kuendelea bado haijakupa street rules za kuingiza hela?? Uliishi vipi na ushindwe sasa??
Kama siyo mnufaika wa huu mfumo wa hovyo basi una roho mbaya tu by nurture.
 
Ndiyo maana tunataka reform ya mifumo yetu yote. Haiwezekani tuwe tunapelekwa pelekwa tu Kwa utashi wa mtu mmoja au kikundi badala ya mfumo unavyotaka.
Yaani wao waangalie perdiem zao tu tuwachukulie poa siyo sawa.
Kama watu wamepata above 50 % wote wafanyiwe usaili wa mahojiano na wabaki database hata kama wataanza kuwachukua hao wenye 90+ plus lakini watakuwa wanachukua pole pole mwishowe watawamaliza. Hii ya kusababishana hasara watoto wa kitanzania haikubaliki hata kidogo.
Huyo jamaa unapoteza muda kujibizana nae kwa hoja huyo kaamua kukaa upande wa kuwaponda walimu kwa kila kitu kisa yeye kasomea kada tofauti na elimu
 
. Hawa ndo wanapiga makelele humu jf na social media nyingine kuwa hawataki usaili 😂 😂 😂.

. Na "zero score" lake anataka akamfundishe Mtoto wa nani sasa 🙂.

. Maana yake hata kujieleza wasifu wake ameshindwa, kwa sababu kujieleza tu background yako tayari kuna marks kama 7% hivi..
Kama huna Cha ku comment Bora uache tu mkuu. Unajua unatia hasira kiasi Gani??
 
Ukiona hivyo kuna tatizo kubwa sana Uhitaji ni Mdogo kuliko Supply...; Ila ni Maajabu sababu Wakufunzi sio kwamba wametosha bado wanahitajika thus watunga Sera wamefeli mahala fulani, Anyway its gonna get worse...; Sababu Capitalism as we know it did not account for Automation and Technology...; i.e. The problem of overproduction without the need for producers...

1738663431661.png
 
View attachment 3224939
Inauma Sana mkuu. Kwanini tunaongozwa na watu wanaojali maslahi Yao pekee?? Kwanini CCM wametufikisha huku ??
 
Poleni sana.

Ukiona sio haki, achana nazo. Fanya mambo mengine
Haina shida ila Kuna wengine Wana uhitaji na hawawezi kuhoji au hawana pa kupeleka malalamiko Yao, je tuwasaidiaje?
 
Inauma Sana mkuu. Kwanini tunaongozwa na watu wanaojali maslahi Yao pekee?? Kwanini CCM wametufikisha huku ??
Hii issue ni kubwa kuliko unavyodhania na mwisho wa siku ni janga la dunia kwa ujumla; lakini shida ni kwamba kwa nchi kama Tanzania yenye kila kitu this should not be the case sababu kuna uwezekano wa ku share mkate / keki hii na kuhakikisha middle income haizidi kupunguza na kuzalisha mafukara..., ngoja nikupe mifano miwili ambayo moja linaweza likawa rectified na kuleta ahueni na jingine ni bomu tunaloendelea kulitengeneza

Hilo Juu ni Bomu hili chini halina maana kuendelea sababu linazidi kuumiza watu wasio na ujira

Hitimisho
Yajayo hayafurahishi....
 
Back
Top Bottom