Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Mtihani wa geogaraphy haukuwa na title ya geography hii imekaaje kwa upande wakoHakuna watu fair Kama UTUMISHI,tena nimeandika kwa herufi kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtihani wa geogaraphy haukuwa na title ya geography hii imekaaje kwa upande wakoHakuna watu fair Kama UTUMISHI,tena nimeandika kwa herufi kubwa.
Hujui biashara weweNimekwambia maduka tunafungua na site tunaenda na usaili kama kawa
Ni inshu ya kuorganize biashara yako tu na kuwa na watu sahihi umemaliza
Pesa haiachwi
Mdharau pesa sio mtafuta pesa kama laki tano waiona ndogo utathamini mia na sh 50 unayopata ukiuza pipi hapo dukan kwako?Hujui biashara wewe
Komaa na huo upumbavu wa uwalimu.
Yaani uache biashara yako update laki 5 mwezi mzima huko machakani.
Achana na huo ujinga wa kukomalia kazi ya laki 5 ambayo bodaboda anaita Kwa wiki tu
Naheshimu mawazo yako 😂😂Mdharau pesa sio mtafuta pesa kama laki tano waiona ndogo utathamini mia na sh 50 unayopata ukiuza pipi hapo dukan kwako?
Na nani kakwambia mshahara lak5?
Pesa haiachwi baki hapo mkuu ukwasi hauna mwishoNaheshimu mawazo yako 😂😂
Hata ukishitak kwa rais, moto uko pale pale 😂Mchakato umejaa manyanyaso Kwa vijana wasio na ajira Wala kipato kinachoeleweka kuanzia kwenye utumaji maombi ya kazi. Vijana walitakiwa kucertify vyeti vyao Kwa mwanasheria/wakili/hakimu yeyote yule, hii ilihitaji pesa kama Hauna basi umekula kwako.
Kwenye interview napo pamejaa mambo ya hovyo hovyo mfano badala ya kufuata Sheria ya utumishi ya 50% wao wana lala na kuamka na pass mark Yao.
Wenye nafasi(viongozi wa psrs na wizara Kwa ujumla wameamua kuwatafutia nafuu ndg zao ya kupata kazi Kwa upendeleo bila kuhojiwa na yeyote. Mfano kama walikuwa na Nia njema Kwa wahitimu waliokaa muda mrefu mfano miaka 10,09, n.k hapakuwa na ulazima wa kuchukua maombi kuanzia 2015 Hadi 2023 badala yake wangechukua kuanzia 2015 Hadi 2018 ili kuwashindanisha waliokaa muda mrefu na kuondoa bias.
Baadhi ya walimu wamepewa oral interview pekee na wengine written na oral interview. Walitakiwa wawafanyie waombaji wote usaili unaofanana Kwa wote. Kwa Nini wengine wahojiwe na wengine wafanye mtihani??
Acheni kutesa watanzania wenzenu kisa tu mna nafasi serikalini au katika kufanya maamuzi maana mnawaumiza sana watanzania wenzenu.
Hawana akili,mtu umekaa miaka zaidi ya mitano mtaani halafu bado unakimbilia hizo ajira! Miaka mitano na kuendelea bado haijakupa street rules za kuingiza hela?? Uliishi vipi na ushindwe sasa??zitakazowafanya muishi Kwa stress na majuto.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwa matokea haya, hata Mm ningeilaumu utumishi ili kuficha upumbavu wangu [emoji23]
View attachment 3224749
Vijana wakiligundua hili watafanikiwa sana! Futa mawazo ya kuajiriwa halafu uone jinsi akili itakavyo changamka!mtaa una kila kitu
Sure sana tatizo watu wengi tunapenda tufanye kazi ili mradi uonekane na wewe unafanya kazi Bora hata wangeanzia kwenye uwinga na bodabodaHawana akili,mtu umekaa miaka zaidi ya mitano mtaani halafu bado unakimbilia hizo ajira! Miaka mitano na kuendelea bado haijakupa street rules za kuingiza hela?? Uliishi vipi na ushindwe sasa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna waalimu walipata 0
Hata ingekuwa n ww umepata hy 0 n lazima uje uilalamikie utumishi 😂 ndicho mtoa mada anachokifanyaKuna waalimu walipata 0
Bodaboda hakosi elfu 30 Kwa siku Kwa mwezi laki 9Vijana wakiligundua hili watafanikiwa sana! Futa mawazo ya kuajiriwa halafu uone jinsi akili itakavyo changamka!
Ila we jamaa da wakunywa togwa umenikumbusha mbali sanaBodaboda hakosi elfu 30 Kwa siku Kwa mwezi laki 9
Na huyo boda yupo Dar anakunywa Pepsi ya baridi, mwalimu umepangiwa machakani Tandahimba unakunywa togwa
Naona jamaa amekugusa kwenye mshono inaelekea unahusika kwa hiliSaili za utumishi wewe huzijui kwa sababu yamkini wewe ni mwalimu au ni mgeni kabisa! Lakini utumishi toka ianzishwe imewafanya vijana wengi kuajirika sehemu ambazo zililikuwa hazifkiki kwa watoto masikini! Kwa hiyo hoja zako hazina mashiko kabisa! Maana wasio na ajira muda mrefu sio walimu peke yake kumekuwepo na kada zingine hawajaajiriwa toka miaka ya nyuma na wapo wengi sana! Umewahi kuona utumishi wanatangaza kazi kwa kulimit miaka ya kumaliza chuo????kwa uzoefu wangu waliomaliza miaka ya nyuma ndio wengi wanapata kazi utumishi sio kwa sababu ya upendeleo ila ni kwa sababu wana uzoefu na kazi hivyo maswali mengi wanayafaulu kwa sababu maswali yanaulizwa ya kada husika!
Kwa hiyo hoja yako kuwa wangekatia waliomaliza mwisho 2018 alafu wawashindanishe haina mashiko maana hata ukichukua wajinga 1000 ukawafanyia usaili lazima yupo atakayeongoza tu! Mimi nilidhani mtu aliyemaliza miaka ya nyuma ana chance kubwa ya kufaulu usaili kwa sababu ana uzoefu na kazi lakini pia hata kujieleza ni tofauti na mtu aliyemaliza mwaka jana!
Hoja yako kuwa wengine wanafanya usaili wa kuandika na wengine usaili wa mahojiano haina mqshiko, kwanza unaonekana wewe ni mbinafsi na una wivu sana, na inaonekana hujui lengo la mithani ya utumishi! Lengo la mithani ya utumishi ni kutafuta watu sahihi miongoñi mwa wengi!
Kazi ya usaili wa mchujo ni kuchuja watu wabaki wachache hivyo hata wakikatia 90% hawana lawama na hamna sheria inayowakataza kukatia hapo maana ni mchujo!
Kuna kada wanahitajika watu 5 wanaomba watu 10 wewe unahisi kuna haja ya kuwa na mthani wa mchujo au written?????? Lakini wanahitajika watu 5 wanaomba watu 1000 plus utawapataje sasa hao watano lazima utumie hizo njia zote! Mchujo, prct nk ili ubaki na wachache ili uhojiane nao! Hiyo application ipo pia kwenye topic za geography walimu mlitufundisha alafu nyie wenyewe hamtaki kufanyiwa!
Tuache malalamiko yasiyo na maana mtoto wako anaposoma mwambie asome kozi ambazo hazina ushindani mkubwa sokoni! Haiwezekani mwalimu kakomaa na madynamic na principle za newton unataka ulingane naye wewe uliyesoma mambo ya ngoswe na mìchomekeo kibao! Tuache utane
Jinsi unavyosoma kozi ngumu na yenye watu wachache hata kwenye usaili ipo hivyo hivyo! Kuna kada wasailiwa wanaitwa watano na wanahitajika 4 hadi raha sana!
Kozi yangu iliyonipa ajirà, walikuwa wanahitajika watu wawili na tulioitwa usaìli tulikuwa watano tuliofika siku ya usaili tulikuwa 4! Wakati pembeni unaona kada nyingine wanahitajika 2 walioitwa usaili 200+ wewe unafikiri kosa la nani hapo???
Tuwe wazalendo! Utumishi wapo fair 100%
Naona umeguswa kwenye mshono.Saili za utumishi wewe huzijui kwa sababu yamkini wewe ni mwalimu au ni mgeni kabisa! Lakini utumishi toka ianzishwe imewafanya vijana wengi kuajirika sehemu ambazo zililikuwa hazifkiki kwa watoto masikini! Kwa hiyo hoja zako hazina mashiko kabisa! Maana wasio na ajira muda mrefu sio walimu peke yake kumekuwepo na kada zingine hawajaajiriwa toka miaka ya nyuma na wapo wengi sana! Umewahi kuona utumishi wanatangaza kazi kwa kulimit miaka ya kumaliza chuo????kwa uzoefu wangu waliomaliza miaka ya nyuma ndio wengi wanapata kazi utumishi sio kwa sababu ya upendeleo ila ni kwa sababu wana uzoefu na kazi hivyo maswali mengi wanayafaulu kwa sababu maswali yanaulizwa ya kada husika!
Kwa hiyo hoja yako kuwa wangekatia waliomaliza mwisho 2018 alafu wawashindanishe haina mashiko maana hata ukichukua wajinga 1000 ukawafanyia usaili lazima yupo atakayeongoza tu! Mimi nilidhani mtu aliyemaliza miaka ya nyuma ana chance kubwa ya kufaulu usaili kwa sababu ana uzoefu na kazi lakini pia hata kujieleza ni tofauti na mtu aliyemaliza mwaka jana!
Hoja yako kuwa wengine wanafanya usaili wa kuandika na wengine usaili wa mahojiano haina mqshiko, kwanza unaonekana wewe ni mbinafsi na una wivu sana, na inaonekana hujui lengo la mithani ya utumishi! Lengo la mithani ya utumishi ni kutafuta watu sahihi miongoñi mwa wengi!
Kazi ya usaili wa mchujo ni kuchuja watu wabaki wachache hivyo hata wakikatia 90% hawana lawama na hamna sheria inayowakataza kukatia hapo maana ni mchujo!
Kuna kada wanahitajika watu 5 wanaomba watu 10 wewe unahisi kuna haja ya kuwa na mthani wa mchujo au written?????? Lakini wanahitajika watu 5 wanaomba watu 1000 plus utawapataje sasa hao watano lazima utumie hizo njia zote! Mchujo, prct nk ili ubaki na wachache ili uhojiane nao! Hiyo application ipo pia kwenye topic za geography walimu mlitufundisha alafu nyie wenyewe hamtaki kufanyiwa!
Tuache malalamiko yasiyo na maana mtoto wako anaposoma mwambie asome kozi ambazo hazina ushindani mkubwa sokoni! Haiwezekani mwalimu kakomaa na madynamic na principle za newton unataka ulingane naye wewe uliyesoma mambo ya ngoswe na mìchomekeo kibao! Tuache utane
Jinsi unavyosoma kozi ngumu na yenye watu wachache hata kwenye usaili ipo hivyo hivyo! Kuna kada wasailiwa wanaitwa watano na wanahitajika 4 hadi raha sana!
Kozi yangu iliyonipa ajirà, walikuwa wanahitajika watu wawili na tulioitwa usaìli tulikuwa watano tuliofika siku ya usaili tulikuwa 4! Wakati pembeni unaona kada nyingine wanahitajika 2 walioitwa usaili 200+ wewe unafikiri kosa la nani hapo???
Tuwe wazalendo! Utumishi wapo fair 100%
Kikubwa ni kuwaachia ualimu waoNaona jamaa amekugusa kwenye mshono inaelekea unahusika kwa hili
Huw
Naona umeguswa kwenye mshono.
Mimi nina experience ya kazi mwaka wa 32 huu huwezi niambia kitu.
Huwezi fanyia usaili watu 20,000 halafu unatafuta watu 100 ukawa fair 100%
Nilikokuwa nafanyia kazi ukiona kazi imetangazwa ujue tayari kuna watu wameshapatikana hii habari ya kutangaza ni kuonyesha watu wako fair.
Nenda bank kuu uchunguze wanaofanya pale ni watu wa aina gani halafu njoo hapa uniambie hii marehemu mwenda zake ilikuwa inamkera sana.Kuna sehemu ukianza kazi unaulizwa na wafanyakazi wenzake muheshimiwa gani kakuleta.Liko shirika flani silisemi ilikuwa pamoja na kufanya interview lakini baadae unasalimiwa kwa lugha hiyo kwanza nahifadhi kabila hilo .Mkurugenzi wake ni RIP
Kutangaza huwa ni kanyaboya tu kuondoa lawama hata ingekuwa ni mimi nina ndugu yangu kakaa benchi miaka 10 niko utumishi siwezi kumuacha.
Mahali pasipo na upendeleo ni mbinguni tu.
Nimeshawahi kuitwa inteview TRA mwaka 2015 sikwenda na usaili ulifanyikia chuo kikuu dar wa maandishi sikwenda machale yalinicheza baadae jamaa mmoja akaniambia afadhali hukwenda ungepoteza muda wako zile nafasi zilikuwa na wenyewe.
Hii iko hata kwenye siasa huwezi kukurupuka tu from nowhere ukajichomeka lazima kwanza wewe uuzike kwanza inakuwa raisi kukuchomeka kirahisi inakuwa rahisi sawa na kumsukuma mlevi.
Mimi mwenyewe nimeshawahi kufanyisha interview mara nyingi sana ni ngumu mno unakuta wame apply watu 200 anahitajika mtu mmoja tu na hii taaluma ni taaluma rare sana kwa maana kwamba sio kama ualimu.
Hapo lazima kutumia mbinu nyingi ukiweka mtihani unakuwa mchujo wa kwanza ukiweka practical unakuwa mchujo wa pili ukiweka practical unakuwa mchujo wa tatu na unakuta lazima utabaki na watu wengi tu lets say 10 hapo sasa niambie kinachotumika ni nini?
THE WORLD IS NOT FAIR
NILIONYA MADHARA YA WANASIASA KUWA WAPIGA KURA ajira zinatolewa kwa kuangalia kadi ya CCMMchakato umejaa manyanyaso Kwa vijana wasio na ajira Wala kipato kinachoeleweka kuanzia kwenye utumaji maombi ya kazi. Vijana walitakiwa kucertify vyeti vyao Kwa mwanasheria/wakili/hakimu yeyote yule, hii ilihitaji pesa kama Hauna basi umekula kwako.
Kwenye interview napo pamejaa mambo ya hovyo hovyo mfano badala ya kufuata Sheria ya utumishi ya 50% wao wana lala na kuamka na pass mark Yao.
Wenye nafasi(viongozi wa psrs na wizara Kwa ujumla wameamua kuwatafutia nafuu ndg zao ya kupata kazi Kwa upendeleo bila kuhojiwa na yeyote. Mfano kama walikuwa na Nia njema Kwa wahitimu waliokaa muda mrefu mfano miaka 10,09, n.k hapakuwa na ulazima wa kuchukua maombi kuanzia 2015 Hadi 2023 badala yake wangechukua kuanzia 2015 Hadi 2018 ili kuwashindanisha waliokaa muda mrefu na kuondoa bias.
Baadhi ya walimu wamepewa oral interview pekee na wengine written na oral interview. Walitakiwa wawafanyie waombaji wote usaili unaofanana Kwa wote. Kwa Nini wengine wahojiwe na wengine wafanye mtihani??
Acheni kutesa watanzania wenzenu kisa tu mna nafasi serikalini au katika kufanya maamuzi maana mnawaumiza sana watanzania wenzenu.
. Hawa ndo wanapiga makelele humu jf na social media nyingine kuwa hawataki usaili 😂 😂 😂.Kuna waalimu walipata 0
Mtaliwa sana vichwa.Mtihani wa geogaraphy haukuwa na title ya geography hii imekaaje kwa upande wako
Naona jamaa amekugusa kwenye mshono inaelekea unahusika kwa hili