Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Waalimu wanadeka sana aisee, na sisi kada zngn ngoja tuanzishe chama chetu tudai kaziOya mpaka wameanzisha chama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waalimu wanadeka sana aisee, na sisi kada zngn ngoja tuanzishe chama chetu tudai kaziOya mpaka wameanzisha chama.
Darwinian evolutionary theory, "Survival of the Fittest" and the End justifies the MeansMchakato umejaa manyanyaso Kwa vijana wasio na ajira Wala kipato kinachoeleweka kuanzia kwenye utumaji maombi ya kazi. Vijana walitakiwa kucertify vyeti vyao Kwa mwanasheria/wakili/hakimu yeyote yule, hii ilihitaji pesa kama Hauna basi umekula kwako.
Kwenye interview napo pamejaa mambo ya hovyo hovyo mfano badala ya kufuata Sheria ya utumishi ya 50% wao wana lala na kuamka na pass mark Yao.
Wenye nafasi(viongozi wa psrs na wizara Kwa ujumla wameamua kuwatafutia nafuu ndg zao ya kupata kazi Kwa upendeleo bila kuhojiwa na yeyote. Mfano kama walikuwa na Nia njema Kwa wahitimu waliokaa muda mrefu mfano miaka 10,09, n.k hapakuwa na ulazima wa kuchukua maombi kuanzia 2015 Hadi 2023 badala yake wangechukua kuanzia 2015 Hadi 2018 ili kuwashindanisha waliokaa muda mrefu na kuondoa bias.
Baadhi ya walimu wamepewa oral interview pekee na wengine written na oral interview. Walitakiwa wawafanyie waombaji wote usaili unaofanana Kwa wote. Kwa Nini wengine wahojiwe na wengine wafanye mtihani??
Acheni kutesa watanzania wenzenu kisa tu mna nafasi serikalini au katika kufanya maamuzi maana mnawaumiza sana watanzania wenzenu.
Amekuahidi wewe? Kwa taarifa Yako mwezi April kibali Cha ajira nyingine kama hizo za juzi kimeshatoka. Msipende kushangilia shida za wengine, ni risky sana. Na mara nyingi humkost mhusika.Kilio chenu waalimu kimesikika kwa rais, ameahidi mwakani ataajiri waalimu ila usaili uko pale pale 😎
View attachment 3248133
Ila usaili upo pale pale 🔥Amekuahidi wewe? Kwa taarifa Yako mwezi April kibali Cha ajira nyingine kama hizo za juzi kimeshatoka. Msipende kushangilia shida za wengine, ni risky sana. Na mara nyingi humkost mhusika.
Mwalimu mzuri anapatikanaje sasa embu fafanua hapaNa pepa zinavujishwa ni mfuko wako mkuu..
Ni Bora mwalimu alie PATA 40% kwenye hio APTITUDE TEST kuliko mwalimu alie desa na kupata 80%
Na mwalimu ni content/ mwalimu sio G.P.A mwalimu mzur hapatikani kwa MITIHANI ya multiple choice questions Wana faili Sana.
Ndugu WATANZANIA amkeni pambania Maisha hata nje ya mfumo wa serikali Maisha yanawezekana
Mwalimu ni content sisi ambao ni walimu by professional mpaka muda huu sijawai fundisha zaidi ya 20years something Ila nafundishaga madogo nyumbani physics, chemistry, biology na mathematics kwa uwezo mkubwa SanaMwalimu mzuri anapatikanaje sasa embu fafanua hapa
Umesema mwl ni content, unajuaje kama amekuwa mahiri kwenye content bila ya kumpa mitihani ? na nikuhakikishie mitihani ya UTUMISHI hakuna hata swali moja lililovuja kwa hicho kiasi cha pesa ulichosema mitihani ingevuja kiasi cha watu wote wangefaulu lakini uliza hata swali moja tu lililokua linajulikana kabla ya mtihani . Kuhusu kusahihisha kama wewe ni mwalimu kweli ungeweza kujua kwamba kila kitua kilikua na wastani wa walimu 500 mpka 700 kwa mikoa yote Tz maswali ya kuchagua kwa idadi hii inahitaji walimu kumi tu kusahihisha ndani ya siku moja kama ushawahi fanya usahihishaji hata wa mitihani ya mkoa walimu 40 wanaweza kusahihisha scripts 3500 mpaka 4000 kwa siku kwa ratio ya 1:100 tena hapa ni mtihani mzima na sio multiple choices… Mimi naona UTUMISHI wako sahihi unachujwa kwenye written baada ya hapo practical alafu mahojiano hizi njia zote kama hauko vizuri sio rahisi kupita sasa ukisema wasiangalie G.P.A wala wasiwape mitihani ya mchujo unataka waote kwamba huyu ni mzuri au sio mzuri?Mwalimu ni content sisi ambao ni walimu by professional mpaka muda huu sijawai fundisha zaidi ya 20years something Ila nafundishaga madogo nyumbani physics, chemistry, biology na mathematics kwa uwezo mkubwa Sana
Mimi nikikufundisha mathematics lazima uelewe. Ila niliachaga hiyo fani kwa kufanya passion yangu medical.
PSPR wamefanya uhuni kuwawekea multiple choice questions 25 wazijibu kwa ku cycle jibu sahihi ndani ya DAKIKA 40
Unadhani kwa Tanzania yetu NETO wamesema mchakato uligubikwa na Hila, upendeleo. MITIANI ilikua imesha funguliwa unadhani kwanini kwenye MITIHANI ya taifa WAKAGUZI huita watu kuhakikisha Kama MITIANI ikiwa imefungwa siled
Ila PSPR WAMEFANYA UHUNI wanaingia na MITIANI ikiwa kwenye mabox ipo nje nje...MSIMAMIZI AKIPEWA BAKISHISHI HATA YA 100,000/= unazani hawezi vujisha huo mtiani na maana mtu akipewa desa akapata multiple choice questions kwa rushwa then unazani ?? Ni sawa
Ni Bora mwalimu hata wakichujwa wachujwe huko huko vyuoni maana fani ya ualimu ni tofauti na fani nyingine UALIMU NI WITO
PSPR WAMEFANYA UHUNI walitumia machine gani kusahihisha Ile MITIANI ndani ya Muda mfupi kiasi kile KILIKUA NI KIINI MACHO
mfumo wa necta kusaisha mtiani kila mwalimu ni swali moja then Kuna mtu wa ku proof reading wenyewe wamewezaje MITIANI zaidi ya 30,000 wasaishe ndani ya masaa 24 na kubandika pdf jumapili mchana.
Kwanza mwalimu anafanya TEACHING PRACTICE MIAKA MIWILI KWA MUDA WA MIEZI MITATU MITATU
SERIKALI ILICHO AMUA NI KUONDOA LAWAMA YAAN WANAONDOA LAWAMA BAADA YA KUWALUNDIKA WAHITIMU KWA MIAKA TAKRIBANI 9 SO KUMEKUA NA WALIMU WENGI WASIO NA AJIRA
ALL IN ALL TANZANIA KUNA UHABA WA WALIMU HILI HALINA UBISHI.
Naweza nikakutukana by the way Mimi nimesha kimbiza umaskini kilometer nyingi SanaaaUmesema mwl ni content, unajuaje kama amekuwa mahiri kwenye content bila ya kumpa mitihani ? na nikuhakikishie mitihani ya UTUMISHI hakuna hata swali moja lililovuja kwa hicho kiasi cha pesa ulichosema mitihani ingevuja kiasi cha watu wote wangefaulu lakini uliza hata swali moja tu lililokua linajulikana kabla ya mtihani . Kuhusu kusahihisha kama wewe ni mwalimu kweli ungeweza kujua kwamba kila kitua kilikua na wastani wa walimu 500 mpka 700 kwa mikoa yote Tz maswali ya kuchagua kwa idadi hii inahitaji walimu kumi tu kusahihisha ndani ya siku moja kama ushawahi fanya usahihishaji hata wa mitihani ya mkoa walimu 40 wanaweza kusahihisha scripts 3500 mpaka 4000 kwa siku kwa ratio ya 1:100 tena hapa ni mtihani mzima na sio multiple choices… Mimi naona UTUMISHI wako sahihi unachujwa kwenye written baada ya hapo practical alafu mahojiano hizi njia zote kama hauko vizuri sio rahisi kupita sasa ukisema wasiangalie G.P.A wala wasiwape mitihani ya mchujo unataka waote kwamba huyu ni mzuri au sio mzuri?
Mimi sibishani na wewe nakufundisha, content ya biology hata daktari anaifahamu sasa kinachomtofautisha yeye na mwalimu ni nini kama sio pedagogy, philosophy na psychology of teaching and learning… wangesema waweke content ya biology pekee wasingeeleweka wanataka mwana-biolojia ,zoologist au mwalimuNaweza nikakutukana by the way Mimi nimesha kimbiza umaskini kilometer nyingi Sanaaa
So nacho pigania ni haki za Hawa ndugu zetu walimu na mwalimu anapo fundisha ujuzi unaongezeka huwezi fananisha na fani nyingine ambazo ni chache lazima mchujwe..
Huwezi linganisha ualimu na fani zingine
Ivi hiyo MITIANI isiyo husiana na somo analo enda kumfundisha ndio kimpima mwalimu maswali ya philosophy na psychology ndio unampima mwalimu??
Sito jibishana Tena na wewe mkuu.