tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Wakuu,
Hakuna sababu yoyote kuzidi kumuweka Lissu Gerezani
Uchaguzi ushapita, maandamano yashapita na lile joto la kisiasa pia lishapita.
The only reason why, Lissu yuko Gerezani ni kuhakikisha kwamba huo mchakato unafanyika lakini yeye ASISHIRIKI. Maana akiwa uraiani Katiba wanayoitaka CCM haitapita
If you think about it, hakuna sababu solid ya kumuweka yule baba Gerezani.
Katiba "Ikishapitishwa" WATAMUACHIA
Soma Pia: Lissu anyimwa tena faragha ya kuzungumza na mawakili wake gerezani Ukonga, barua aliyoandika kuhoji mwenendo wa kesi yatumia siku 10 kumfikia Msajili