valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
Nataka kujua jinsi mchakato wa kupatikana kwake ulivyokuwa hadi akapewa timu. Alkpambanishwa na nani hadi akashinda nafasi hiyo.Kwann unataka kujua??
Nataka kujua jinsi mchakato wa kupatikana kwake ulivyokuwa hadi akapewa timu. Alkpambanishwa na nani hadi akashinda nafasi hiyo.
Aaaah you might be right. Lakini Amunike alipambanishwa na kocha yupi hadi kushinda 'kondarasi' ya kufundisha timu?Shida siyo kocha, shida ni wanaofundishwa.
Unadhani ni kocha gani alipita Bongo akawapa mafanikio makubwa kupita Amunike?
Aaaah you might be right. Lakini Amunike alipambanishwa na kocha yupi hadi kushinda 'kondarasi' ya kufundisha timu?
Timu za kufuzu zimeongezwa toka 16 hadi 24...lile kundi maximo na poulsen wangefuzu game tatu za mwanzoKuna aina nyingi za recruitment mkuu.
Siyo kila CV inapambanishwa.
Timu za kufuzu zimeongezwa toka 16 hadi 24...lile kundi maximo na poulsen wangefuzu game tatu za mwanzo
Acha we....Timu za kufuzu zimeongezwa toka 16 hadi 24...lile kundi maximo na poulsen wangefuzu game tatu za mwanzo
Sio kweli angalia rankings za FIFA. .huko nyuma tumewahi kupangwa na vitimu vyepesi hatukufuzu kama MsumbijiTimu za kufuzu zimeongezwa toka 16 hadi 24...lile kundi maximo na poulsen wangefuzu game tatu za mwanzo
Hivi msumbiji ya wakati ule utailinganisha na msumbiji ya leo!?..msumbiji ile ilikua na wachezaji wengi wanacheza ligi bora,palikua na cape verde ya wachezaj wanaocheza portugal...lakini stars ilikua ikicheza mpira unaoeleweka,tuliifunga morocco goli tatu taifa,tukachezs vizuri dhidi ya ivory coast..sasa hili kundi timu ngumu uganda!!!Sio kweli angalia rankings za FIFA. .huko nyuma tumewahi kupangwa na vitimu vyepesi hatukufuzu kama Msumbiji
Kama unatafuta maMiss sawa...Hivi haiwezekani team ya taifa ikawa na wachezaji wote wasio kwenye vilabu vya nyumbani? Sababu naona mda mwingi wachezaji wanakuwa kwenye vilabu vyao.. Tunataka wachezaji watakao kuwa kwenye kambi mda wote