Mchakato wa kuingiza Ukraine ndani ya NATO waanza rasmi

Yani mataifa 30+ yanaungana kumkabili mrusi duuh. Basi tumpe credit mrusi kwa kuwa that powerful kiasi kwamba mataifa yanaungana kumkabili.
Hapana umedanganya umoja ni nguvu hivyo Russia nae mlango ukowazi akiamua aombe
 
Russia kabla ya hii operation alishachora ramani yote kitachofanyika na kitachotokea,angalia hiyo mikoa minne iliyochukuliwa Ni
1. Eneo lote la mpaka na Russia 15% ya Ukraine land and water (110,000sqrkm)
2. Maeneo ya viwanda vikubwa, bandari kubwa, kinu kikubwa Cha nuklia 20% ya matumizi ya nishati kwa Ukraine, madini muhimu,makaa ya mawe.etc
3.Buffer zone ya kutosha Kama Ukraine itajiunga NATO, etc
Samaki hujikaanga kwa mafuta yake. Na aliyenacho huzidi kuongezewa
Alamsik
 
Sijui watu wa Muddy huwa mumelewa nini, angalia hii ramani au omba mtu yeyote akuelimishe kutizama picha upate aibu

Huyu jamaa MK254 reasoning yake inatia shaka sijui kosoma shule zipi yaani hata vitu vidogo kwake ni shida kuelewa nimecheka sana eti anasema Ukraine kainchi kadogo..

Watu wa muddy bana, ulisema unaogopa kuni-tag, leo umepata wapi ujasiri, ni mzuka upi huo wa kidini umesababisha hii ramani inawashinda kutizama na kuelewa...

Watu wa muddy bana, ulisema unaogopa kuni-tag, leo umepata wapi ujasiri, ni mzuka upi huo wa kidini umesababisha hii ramani inawashinda kutizama na kuelewa...

Wapi nimesema naogopa kukutag ? mimi Kazi yangu kusawazisha ujinga tu na mtu akiwa mjinga zaidi haelimiki kumuacha mbali .

Mzuka wa kidini inahusiana vipi na hii mada wapi nimeonyesha udini na ni makosa kufanya uchambuzi ?

Eneo lilochukuliwa na Urudi ni dogo halina umuhimu ? kama hivyo mwambie Ruto aipe mombasa au kisumi Tz maana ni kaeneo kidogo ukicompare na Ardhi ya Tz au Kenya.
 
Ukraine haiwez jiunga nato kamwe....
 
Dini ndio imesababisha mumeingia uchizi eti mumeaminishwa kwa Urusi kufanya mauaji Ukraine anamkomoa Marekani ambaye huwa mnahubiriwa ndiye adui wenu....hii ramani inapaswa iwape aibu huko misikitini

mtoa mada pole watu wameshajichukuli mikoa yao 4 hayo mengine ni kelele tu hapa chukwaani
 
mtoa mada pole watu wameshajichukuli mikoa yao 4 hayo mengine ni kelele tu hapa chukwaani
Wamechukua vipi hiyo mikoa wakati bado vita vinaendelea na hivi tunavyozungumza vikosi vya Ukraine vimekaribia kuuzingira mji wa Lyman ambao upo kwenye mkoa wa Donetsk ambao Urusi anadai ameunyakua rasmi tangu jana.

Sasa chakushangaza Putin alisema shambulio lolote dhidi ya mikoa minne iliyoibwa na Urusi litakuwa ni shambulio dhidi ya Urusi na atatumia nyuklia kujibu.

Lakini hadi muda huu vikosi vya Ukraine bado vinaendelea na kasi ya vita na vimekombia vijiji viwili katika mkoa wa Donetsk.

Putin alidhani akishatangaza mikoa hiyo minne kwamba ipo Urusi ndo kipondo kitapungua kumbe Ukraine amenuia kuendelea na vita hadi akomboe ardhi yake yote.
 
Dini ndio imesababisha mumeingia uchizi eti mumeaminishwa kwa Urusi kufanya mauaji Ukraine anamkomoa Marekani ambaye huwa mnahubiriwa ndiye adui wenu....hii ramani inapaswa iwape aibu huko misikitini

Wapi nimesema hivyo au wapi nimesema mimi nipo Russia ? kama hiyo sehumu ipo ibold mahali popote niione mimi nimefanya uchambuzi wewe unaleta udini ..
 
Acha kujipq moyo mini imekwenda na maji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dini ndio imesababisha mumeingia uchizi eti mumeaminishwa kwa Urusi kufanya mauaji Ukraine anamkomoa Marekani ambaye huwa mnahubiriwa ndiye adui wenu....hii ramani inapaswa iwape aibu huko misikitini

Wewe inaelekea ni zao la lishe dini Kenya kupelekea mpaka kukosa virutubisho muhimu katika ubongo ana sasa umeshindwa kujibu uchambuzi wangu kuhusu pale ulivyosema Urusi umechukua sehemu ndogo tu na mifano yangu ya Mombasa na Kisumi zaidi ya kukimbilia polisi na kiniQuote kitu ambacho hakihusiani kabisa.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Alianza kwa kiherehere cha kutaka kuparamia Ukraine yote ikiwemo Kyev, akapokea za uso na kwenda kuambulia huto tumiji twa mpakani, na twenyewe tutamtoka puani maana shughuli ya kufika Crimea bado inaendelea.
15% imekwenda na maji
 
Ninapojadili na nyie mliopotoshwa na uzombi wa kidini, anything goes, maana hii ramani ilipaswa iwape aibu..

Wapi nimesema hivyo au wapi nimesema mimi nipo Russia ? kama hiyo sehumu ipo ibold mahali popote niione mimi nimefanya uchambuzi wewe unaleta udini ..

Kwa sasa hivi nyote mumeshikiliwa akili, mnadhani kwa Urusi kuwaua watu wa Ukraine mnaikomoa Marekani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…