Mchakato wa kuingiza Ukraine ndani ya NATO waanza rasmi

Ninapojadili na nyie mliopotoshwa na uzombi wa kidini, anything goes, maana hii ramani ilipaswa iwape aibu..

We jamaa akili zako sasa, hiyo ramani na dini inahusiana vipi na nilichokiandiaka ?
 
Kwa sasa hivi nyote mumeshikiliwa akili, mnadhani kwa Urusi kuwaua watu wa Ukraine mnaikomoa Marekani...
Wapi nimesema hivyo mbona unaropoka bila ushahidi kama madada wa saluni wa Buza kwa Lulenge ?
 
We jamaa akili zako sasa, hiyo ramani na dini inahusiana vipi na nilichokiandiaka ?

hautakaa uelewe uhusiano wa hii ramani maana mumekua kama misukule wa kidini...ila mnapaswa mupate aibu

Wapi nimesema hivyo mbona unaropoka bila ushahidi kama madada wa saluni wa Buza kwa Lulenge ?

Na tayari wanaendelea kupokea kichapo, hao Warusi mliokua mnategemea kwamba ndio ulinzi wa waarabu wenu sasa hivi hawana chochote....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…