Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Kwa hili nakuunga mkono.Hapa kwetu Rais 'anarara' usiku, akiamka asubuhi anatoa tangazo la uteuzi. Vigezo vyote anavijua yeye! Hakika tuna Katiba mbovu sana.
Lazima Jamii iendelee na iwe civilized ndio inaweza kuwa compatible na the so called western democracy,hizi demokrasi kila sehem sio guarantee ya ufanisi kwa wahusika.
Nafuatilia mchakato wa kumpata Jaji mkuu wa nchini Kenya.
Mahojiano ya walioomba nafasi hizo yanaendelea kufanyika na Judicial Service Commission, tena yakiwa live kwenye media nyingi.
Natamani sana na hapa kwetu Tanzania tuwe na mchakato mzuri na wenye uwazi kama huu.
Kikuyus have not ruled for 60 years and currently, non of the interested candidates for next years election is a Kikuyu. Usikuwe sungura aliyekosa mizabibu kila saa.Mwisho wa siku kina Jayden Konyagi na Dr. William Lootal wanakula hadi pesa za Covid-19,
Wakikuyu wanatawala Kenya miaka 60 sasa.
laa hashaWe unadhani CCM watakubali?
Tanzania is shithole mazee. na tukiwaambia hapa kua Tanzania ya leo ni Kenya ya miaka ishirini iliopita wanakataa.Hapa kwetu Rais 'anarara' usiku, akiamka asubuhi anatoa tangazo la uteuzi. Vigezo vyote anavijua yeye! Hakika tuna Katiba mbovu sana.
Tanzania is shithole mazee. na tukiwaambia hapa kua Tanzania ya leo ni Kenya ya miaka ishirini iliopita wanakataa.
Nafuatilia mchakato wa kumpata Jaji mkuu wa nchini Kenya.
Mahojiano ya walioomba nafasi hizo yanaendelea kufanyika na Judicial Service Commission, tena yakiwa live kwenye media nyingi.
Natamani sana na hapa kwetu Tanzania tuwe na mchakato mzuri na wenye uwazi kama huu.
Katiba hiyo hiyo sasa imetupatia viongozi wàkuu wa nchi ambao hawajapita kwenye box la kura.Katiba inatubana omba ibadilishwe tuache kuchagua watu gizani
Mwishowe majina matatu yanapelekwa kwa Rais kwa ajili ya uteuzi...hakuna jipya