Mchakato wa kumpata Jaji Mkuu nchini Kenya

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Nafuatilia mchakato wa kumpata Jaji mkuu wa nchini Kenya.

Mahojiano ya walioomba nafasi hizo yanaendelea kufanyika na Judicial Service Commission, tena yakiwa live kwenye media nyingi.

Natamani sana na hapa kwetu Tanzania tuwe na mchakato mzuri na wenye uwazi kama huu.
 
Ndiyo maana Fisiemu itabaki kutawala hadi ardhi na anga vitakapokutana, kwani tuna mifumo mibovu haijawahi kushuhudiwa popote. Mamlaka ya Rais yanapaswa kujadiliwa tena upya, Mihimili mingine inashindwa kuwa huru na kujitegemea kwasababu ya system mbovu tulizijiwekea
 
Mwisho wa siku kina Jayden Konyagi na Dr. William Lootal wanakula hadi pesa za Covid-19,
Wakikuyu wanatawala Kenya miaka 60 sasa.
 
Hii ni demokrasia na mchakato wa wazi kabisa bila upendeleo. Ila atashinda mwanamama Prof.

So majirani mjiandae na CJ mpya huyo.
 
Nafuatilia mchakato wa kumpata Jaji mkuu wa nchini Kenya.

Mahojiano ya walioomba nafasi hizo yanaendelea kufanyika na Judicial Service Commission, tena yakiwa live kwenye media nyingi.

Natamani sana na hapa kwetu Tanzania tuwe na mchakato mzuri na wenye uwazi kama huu.
 
Mwisho wa siku kina Jayden Konyagi na Dr. William Lootal wanakula hadi pesa za Covid-19,
Wakikuyu wanatawala Kenya miaka 60 sasa.
Kikuyus have not ruled for 60 years and currently, non of the interested candidates for next years election is a Kikuyu. Usikuwe sungura aliyekosa mizabibu kila saa.
 
Mwishowe majina matatu yanapelekwa kwa Rais kwa ajili ya uteuzi...hakuna jipya
Nafuatilia mchakato wa kumpata Jaji mkuu wa nchini Kenya.

Mahojiano ya walioomba nafasi hizo yanaendelea kufanyika na Judicial Service Commission, tena yakiwa live kwenye media nyingi.

Natamani sana na hapa kwetu Tanzania tuwe na mchakato mzuri na wenye uwazi kama huu.
 
Mwishowe majina matatu yanapelekwa kwa Rais kwa ajili ya uteuzi...hakuna jipya

..inasaidia kuondoa uwezekano wa rais kuteua watu wasiokuwa na sifa kama tobias mwesiga alivyoteuliwa kuongoza tpdc.
 
This is a level of dialogue/scrutiny/checks and balances that much of Africa is not familiar with
 
Back
Top Bottom