Muhumba wa Mukinyaa
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 683
- 1,251
ACT wanachelewesha SAFARI ya Mabadiliko!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Samia ametenda dhambi kwa kuwahadaa Watanzania.Tume huru haiwezi kupatikana kwa katiba hii inayompa umungu mtu rais wa JMT ambaye pia anateua majaji, maDC, maDED, maRC, maRPC, n.k. Hawa wanaoweza kucheza na uchaguzi ktk namna yoyote inayokiuka sheria halafu wasifanywe chochote.
Ili tume huru ipatikane rais lazima awe chini ya sheria (aweze kishitakiwa) na mamlaka yake yapunguzwe na apunguziwe idadi ya wateule.
Vyama vya upinzani vilichemka sana kumpa Samia muda mrefu wa kuamini ulaghai wake wa mazungumzo ya maridhiano..
Tangu 2021 mnashiriki chaguzi ndogo na hamjawahi kupata hata kiti cha Mwenyekiti wa mtaa. Mkishindwa mnakimbilia kuomba huruma ya wananchi. Mmechagua kuwa mhuri wa chama tawala. Sisi wananchi tunaweza sasa kuamini tuhuma zinazotolewa na wenzenu chadema kuwahusu ninyi.MCHAKATO WA KUPATA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) UANZE SASA
Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ndg Isihaka Rashid Mchinjita, kimewataka Wajumbe wote wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wajiuzulu ili mchakato wa kuundwa kwa Tume mpya ya Uchaguzi uanze kwa mujibu wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi iliyopitishwa na Bunge hivi karibuni.
Tume mpya itakayopatikana kwa ushindani wa Watanzania kuomba, kusailiwa na Jopo Maalumu, kuchujwa na kisha kuteuliwa;
1. Iratibu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwishoni mwa mwaka huu 2024, na
2. Iendeshe Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025
Kwa heshima na taadhima, makamishna wa NEC waliopo wanapaswa kuwapa nafasi Watanzania kupata NEC mpya kwa mujibu wa Sheria mpya ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Busara inataka WAJIUZULU KWA MPIGO (enmass)
Mungu hatafanya chochote kuwasaidia wasiojidlsaidiaDr Samia ametenda dhambi kwa kuwahadaa Watanzania.
Tunamwachia Mungu. Sisi hatuwezi
Tulimwamini yeye hakutaka kuaminika.Mungu hatafanya chochote kuwasaidia wasiojidlsaidia
ACT wako Desparate kukuza Chama wanajikuta wanatia aibu tu.Tangu 2021 mnashiriki chaguzi ndogo na hamjawahi kupata hata kiti cha Mwenyekiti wa mtaa. Mkishindwa mnakimbilia kuomba huruma ya wananchi. Mmechagua kuwa mhuri wa chama tawala. Sisi wananchi tunaweza sasa kuamini tuhuma zinazotolewa na wenzenu chadema kuwahusu ninyi.
Kwa style hii kitaishia ZanzibarACT wako Desparate kukuza Chama wanajikuta wanatia aibu tu.