Pre GE2025 Mchakato wa Kupata Tume Huru ya Uchaguzi Uanze Sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dr Samia ametenda dhambi kwa kuwahadaa Watanzania.
Tunamwachia Mungu. Sisi hatuwezi
 
Tangu 2021 mnashiriki chaguzi ndogo na hamjawahi kupata hata kiti cha Mwenyekiti wa mtaa. Mkishindwa mnakimbilia kuomba huruma ya wananchi. Mmechagua kuwa mhuri wa chama tawala. Sisi wananchi tunaweza sasa kuamini tuhuma zinazotolewa na wenzenu chadema kuwahusu ninyi.
 
ACT wako Desparate kukuza Chama wanajikuta wanatia aibu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…