Ni kweli Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!SIjui mchakato huu inafanyika lini ila sisi kama WATANGANYIKA inatubidi tuufatilie kwa makini sana
Hakutakuwa na uchaguzi baada ya mchakato huu Bali kutafanyika
Niseme tu kuwa uchaguzi CCM wanaungojea kwa makini ni mchakato wa kura za maoni baada ya hapo atakaye pita automatic ni MBUNGE
INEC tayari wanayo matokeo,maagizo ni kuwa wawatangaze wagombea wote wa CCM kushinda kwa 99% kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Ni wapumbavu tu watakubali kupoteza muda wao kwenda kupiga kura. No Reforms No Election.SIjui mchakato huu inafanyika lini ila sisi kama WATANGANYIKA inatubidi tuufatilie kwa makini sana
Hakutakuwa na uchaguzi baada ya mchakato huu Bali kutafanyika viini macho vitakavyosimamiwa na tume kwa maelekezo maalumu ya serikali wateule wote wa CCM watateuliwa kuwa wabunge rasmi isipokuwa tu Yale majimbo kadhaa yaliopo kwenye mpango wa 4R za mama ambayo mengine yamewekwa wazi kbs kama Rombo MOSHI Siha and etc kwa CHAUMA
Na baadhi ya majimbo ya Pemba ambayo watapewa ACT wazalendo
Niseme tu kuwa uchaguzi CCM wanaungojea kwa makini ni mchakato wa kura za maoni baada ya hapo atakaye pita automatic ni MBUNGE
Tayari ANGELA KAIRUKI ameanza kugawa MABURUNGUTU YA PESA HUKO KIBAMBA. JUZI ALIGAWA70000 Kwa kila mjumbe, huku mtenvu akigawa 30000/= kwa kila mjumbe?SIjui mchakato huu inafanyika lini ila sisi kama WATANGANYIKA inatubidi tuufatilie kwa makini sana
Hakutakuwa na uchaguzi baada ya mchakato huu Bali kutafanyika viini macho vitakavyosimamiwa na tume kwa maelekezo maalumu ya serikali wateule wote wa CCM watateuliwa kuwa wabunge rasmi isipokuwa tu Yale majimbo kadhaa yaliopo kwenye mpango wa 4R za mama ambayo mengine yamewekwa wazi kbs kama Rombo MOSHI Siha and etc kwa CHAUMA
Na baadhi ya majimbo ya Pemba ambayo watapewa ACT wazalendo
Niseme tu kuwa uchaguzi CCM wanaungojea kwa makini ni mchakato wa kura za maoni baada ya hapo atakaye pita automatic ni MBUNGE
Tumefika pabaya ubunge wa kupewa. Wanaweza pia waspinzani wasipate hata chapa. DadekiAct, chauma ndio watakuwa na wabunge, cuf nayo waipe wabunge wawili watatu kumtakrima mzee lipumba kwa utulivu wake
Acha kumchongea dada 'mashallah' laughs 😃 😀Tayari ANGELA KAIRUKI ameanza kugawa MABURUNGUTU YA PESA HUKO KIBAMBA. JUZI ALIGAWA70000 Kwa kila mjumbe, huku mtenvu akigawa 30000/= kwa kila mjumbe?
Takukuru wana cheza kamari ofsini
Nilikuwepo nimeshuhudia na naweza kuthibitisha. ANGELA KAIRUKI AMETOA RUSHWA KWA WAPIGA KURA HUKO KIBAMBA. KILA MJUMBE KAMPA 70000Acha kumchongea dada 'mashallah' laughs 😃 😀
Mungu yupo!INEC tayari wanayo matokeo,maagizo ni kuwa wawatangaze wagombea wote wa CCM kushinda kwa 99% kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Ni wapumbavu tu watakubali kupoteza muda wao kwenda kupiga kura. No Reforms No Election.
TAKUKURU wenyewe wapenda Takrima/RushwaTayari ANGELA KAIRUKI ameanza kugawa MABURUNGUTU YA PESA HUKO KIBAMBA. JUZI ALIGAWA70000 Kwa kila mjumbe, huku mtenvu akigawa 30000/= kwa kila mjumbe?
Takukuru wana cheza kamari ofsini
Hivi TAKUKURU bado wapoTAKUKURU wenyewe wapenda Takrima/Rushwa
Takuluru ya ccm, mahakama za ccm, polisi wa ccm, watoa na wala rushwa wa ccm.TAKUKURU wenyewe wapenda Takrima/Rushwa
Ndio wapo kwa watu ambao ni Against na mfumoHivi TAKUKURU bado wapo
Kwani wamesimamishaUnajua sababu ya huu mchakato kusimamishwa? Kuna joto wamekutana nalo baada ya kumkamata mzée wa No reforms no election. Kamuulizeni mama yenu atawaambia.