dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,423
- 1,987
Hii nimeizungumzia sana sana hapa na kwenye baadhi ya vilinge nje ya hapa.
Pia wadau wengi wamekuwa wakiifafanua hapa na nje ya hapa pia.
Nia na lengo ni kulishana taarifa sahihi.
Sasa kwa wale mliochelewa kuijua inahusu nini au inahitaji nini ili kuweza kushiriki.
Ni rasmi sasa DV-2026 inaanza kuchezwa leo tarehe 2/10/2024 kuanzia saa mbili usiku
(kwa Saa za Tanzania).
Soma maelekezo jiridhishe kitaarifa kuwa umeielewa kisha cheza kwani ukifanya kosa hapa mwanzoni unaweza ukachaguliwa lakini bado makosa yakakugharimu hapo mbeleni.
Kwa nyongeza tu inashauriwa utume ushiriki wako (eDV Application) mapema kadiri inavyowezekana.
Ukishindwa kufanya mwenyewe na kama utahitaji msaada wa kuchezewa ama ukikwama popote usisite kuuliza ili tuelekezane namna ya kucheza.
Piga: +255714 591 548