OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Katika kutimiza malengo ya taasisi, taasisi huwa na mifumo ya uendeshaji wa mambo mbalimbali ya taasisi. Mifumo hiyo huwa na procedures ambazo wahusika ni lazima wapitie katika kutekeleza jambo fulani. Procedures hizo huwekwa katika namna ambayo huzuia vihatarishi (risks) ambayo vinaweza kuzuia taasisi kutimiza malengo
Procedures zinapaswa kuwa na msaada wa kuzuia vihatarishi. Kama vihatarishi vitaendelea kutokea maana procedures hazifanyi kazi na hazina tija. Kwa lugha rahisi una procedure ya kuweka mlinzi kwenye ghala lakini bado wizi unatokea. Basi uwepo wa mlinzi hauna msaada wa kumaliza tatizo inabidi itafutwe namna nyingine.
Kwa nini tunataka Tume Huru na Sheria nzuri ya uchaguzi? Ni kwa sababu procedure ya uwepo wa Tume ya Uchaguzi (iliyopo) umeshindwa kuzuia wasiostahili kushinda uchaguzi.
Vivyo hivyo kwa mchakato wa uchaguzi wa CHADEMA. Ni dhahiri kwamba Mbowe ni Tatizo mama katika CHADEMA kutimiza malengo ya kuanzishwa kwake. Mbowe ni kihatarishi (risks). Kwa hiyo kama procedures zilizopo hazitaondoa (mitigate) hii risks ya uwepo wa Mbowe madarakani maana mchakato mzima wa Uchaguzi ni hopeless.
Ni hayo tu kwa leo