Mchakato wa uchaguzi hautakuwa na tija kama hautamuondoa Mbowe madarakani

Mchakato wa uchaguzi hautakuwa na tija kama hautamuondoa Mbowe madarakani

Hakiwezi kufa ila kitapoteza ushawishi kwa watu na wenye akili timamu nasisi tuta sapoti propaganda maarufu ya kijani na njano kwamba upinzani Tanzania haupo wenyeviti wote wa vyama vya upinzani ni mapandikizi.
Trust ne

Chakademus is dead
 
Hakiwezi kufa ila kitapoteza ushawishi kwa watu na wenye akili timamu nasisi tuta sapoti propaganda maarufu ya kijani na njano kwamba upinzani Tanzania haupo wenyeviti wote wa vyama vya upinzani ni mapandikizi.
Aliondoka zzk-CDM IPO
kaondoka silaa-CDM ikapanda chati
Sumai na lowasa CDM IPO
sembuse mwehu lisu.
Tena nadhani akiondoka lisu watu wenye akili timamu sasa wataiunga mkono CDM
 
..tatizo sio Chadema.

..tatizo ni mfumo mbaya wa uchaguzi.

..mfumo ambao hautoi haki sawa kwa wanaoshiriki siasa.
 
Aliondoka zzk-CDM IPO
kaondoka silaa-CDM ikapanda chati
Sumai na lowasa CDM IPO
sembuse mwehu lisu.
Tena nadhani akiondoka lisu watu wenye akili timamu sasa wataiunga mkono CDM
Mtaji wa siasa ni watu hao wote uliowataja kipindi icho wanachama walikua pamoja na FAM,unashindwa kuelewa nyakati,nyakati zmebadilika embu shtuka lbd uwe wewe ni kijani na njano u naataka CDM ipoteze nguvu.
 
Katika kutimiza malengo ya taasisi, taasisi huwa na mifumo ya uendeshaji wa mambo mbalimbali ya taasisi. Mifumo hiyo huwa na procedures ambazo wahusika ni lazima wapitie katika kutekeleza jambo fulani. Procedures hizo huwekwa katika namna ambayo huzuia vihatarishi (risks) ambayo vinaweza kuzuia taasisi kutimiza malengo

Procedures zinapaswa kuwa na msaada wa kuzuia vihatarishi. Kama vihatarishi vitaendelea kutokea maana procedures hazifanyi kazi na hazina tija. Kwa lugha rahisi una procedure ya kuweka mlinzi kwenye ghala lakini bado wizi unatokea. Basi uwepo wa mlinzi hauna msaada wa kumaliza tatizo inabidi itafutwe namna nyingine.
Kwa nini tunataka Tume Huru na Sheria nzuri ya uchaguzi? Ni kwa sababu procedure ya uwepo wa Tume ya Uchaguzi (iliyopo) umeshindwa kuzuia wasiostahili kushinda uchaguzi.

Vivyo hivyo kwa mchakato wa uchaguzi wa CHADEMA. Ni dhahiri kwamba Mbowe ni Tatizo mama katika CHADEMA kutimiza malengo ya kuanzishwa kwake. Mbowe ni kihatarishi (risks). Kwa hiyo kama procedures zilizopo hazitaondoa (mitigate) hii risks ya uwepo wa Mbowe madarakani maana mchakato mzima wa Uchaguzi ni hopeless.

Ni hayo tu kwa leo
Wewe humtaki Mbowe atumie haki yake ya kidemokrasia kugombea nafasi ya uenyekiti? Je wewe ni mjumbe na utapiga kura? Je, kama ni mjumbe basi tumia haki Yako umchague unayetaka na si vinginevyo. CHADEMA ni chama Cha kidemokrasia na mwanachama yeyote anaweza kugombea na katiba Yao ina mfumo wa uchaguzi. Si TUME ya uchaguzi unayoielewa wewe. Tumia haki Yako na si vinginevyo.
 
Demokrasia ina standards, zipo pia procedures za kumeet malengo ya demokrasia. Kama hizo procedures zinaleta viongozi wasiofaa basi hizo procedures ni za hovyo
 
Aliondoka zzk-CDM IPO
kaondoka silaa-CDM ikapanda chati
Sumai na lowasa CDM IPO
sembuse mwehu lisu.
Tena nadhani akiondoka lisu watu wenye akili timamu sasa wataiunga mkono CDM
Mmevurugwa mkavurugana
 
Mbowe ndo muasisi wa cdm, na ndo kaipigania na kuijenga hadi kufika hapa.
Wakati wewe unahangaika na waume za watu mbowe anahangaikia jamii ya watanzania kwa jasho kubwa.
Nendeni mkaanzishe vyama vyenu kwani mmeshikwa mikono na macho si msajili wa vyama yupo.
Poteeni au muende ccm, swaini, ninyi
Wewe mwendawazimu Mbowe ndio muasisi wa CHADEMA? Enzi za Edwin Mtei na Bob Makani ulikuwa bado kishumundu nini, nyie wachaga ndio nnasababisha CHADEMA ionekane ni SACCOS ya Mbowe
 
Madaraka anaeyataka anafaidika nayo in terms of token.
Mbowe anatoa fedha zake anafaidika na nini.

Kaanzisha chama hivyo hawezi kuachia mbwa mwitu wakiue
Bado unanyonya hujui hata history ya kuanzishwa kwa CHADEMA.
 
Aliondoka zzk-CDM IPO
kaondoka silaa-CDM ikapanda chati
Sumai na lowasa CDM IPO
sembuse mwehu lisu.
Tena nadhani akiondoka lisu watu wenye akili timamu sasa wataiunga mkono CDM
Tofautisha nyakati na mwamko wa wafuasi. Kipindi cha Zitto hata sisi tulibaki. Lakini Safari hii mtalinywa kutoka kwa huyo huyo mwehu
 
Mtaji wa siasa ni watu hao wote uliowataja kipindi icho wanachama walikua pamoja na FAM,unashindwa kuelewa nyakati,nyakati zmebadilika embu shtuka lbd uwe wewe ni kijani na njano u naataka CDM ipoteze nguvu.
Hivi sasa mbowe anahitajika na watu kuliko kipindi chote cha huko nyuma.
zzk Alipendwa sana na watu, na kudhania kupendwa kwake basi ni mkubwa kuliko chama.
Mwishowe chama kilipanda chati zaidi
 
Wewe mwendawazimu Mbowe ndio muasisi wa CHADEMA? Enzi za Edwin Mtei na Bob Makani ulikuwa bado kishumundu nini, nyie wachaga ndio nnasababisha CHADEMA ionekane ni SACCOS ya Mbowe
Mwehu wewe, mbowe ameshiriki kuipaisha cdm maisha yake yote enzi za kina mtei alikuwa nao nyau wew.
Mkishumundu ana akili kuliko wewe mnyaa
 
Back
Top Bottom