Mchakato wa uchaguzi hautakuwa na tija kama hautamuondoa Mbowe madarakani

mnachangisha fedha kwa wanachama mnanufaika wenyewe tumewashtukia.
 
Nyie CCM ndio tatizo kubwa Chadema.
 
Mwehu wewe, mbowe ameshiriki kuipaisha cdm maisha yake yote enzi za kina mtei alikuwa nao nyau wew.
Mkishumundu ana akili kuliko wewe mnyaa
Alikuwa peke yake? Na hoja yako ya kiuendawazimu kuwa ndio muasisi ina mashiko? Utakuwa kimada wake huna akili unazungumzia mahaba, pathetic fool
 
Democracy ni uchaguzi ufanyike kwa haki na uwazi kila mmoja aridhike na process nzima(si lazima aridhike na matokeo ila kikubwa aridhike na process), kulazimisha mmoja ashindwe hata kama atachaguliwa na wengi ni upumbavu uliokithiri na ni kitokuamini katika demokrasia(wengi wape).
Kama kuna rushwa au kwa namna fulani kuna mazingira yanayoashiria rushwa imetembezwa viwekwe hadhari kabla uchaguzi haujafanyika siyo mtu ashindwe aje na vijisababu uchwara. Naamini wajumbe(majority of them) ni watu wasiotaka chama kife wala hawatamani kififie hivyo hata wakila rushwa(kama kweli rushwa imetembezwa and it's a criminal offense kutoa au kupokea rushwa) watachagua mtu wanayeamini hatakiua wala kukififisha chama chao. Definitely wajumbe wanawajua wagombea kiundani zaidi ya mashabiki wanaowajulia mitandaoni.
 
Upo sahihi 100%.
Uongozi wote uliopo kuanzia mwenyekiti na makamu wake wote wajiuzulu siku 3 kabla ya uchaguzi. Wateuliwe watu wawili ambao wataongoza vikao.
Katibu mkuu na naibu wake nao wajiuzulu ili kupisha uchaguzi.
 
Kweli kabisa
 
Mbowe ni CCM ndani ya chadema
 
Hili andiko ni la lini..?

Huyu Freeman Mbowe unayemsema hapa siyo Mwenyekiti tena, au hujui ndugu....?

Labda ungefafanua zaidi uoneshe hiyo risk iko ktk engo gani...

Je uwepo wake wapi ndio unakuwa ni risk?

Je, ni kuwa hai kwake na hivyo kuiondoa hiyo risk awe hanged hadi afe..?

Je, aondolewe kwenye kila ngazi ya uongozi ikiwemo kutokuwa mjumbe wa kudumu wa Central Committee...?

Kama yote haya ni siyo, what exactly do you mean kusema huyu bwana ni risk na ni kikwazo..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…