mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
DuuhSasa ndugu yetu Amri Kiemba, si ungetutajia na ratiba ya hicho kipindi cha michezo unacho chambua hapo Maqingu Redio ili tuwe na uhakika wa kukuangalia na kukufanyia tathmini.
Hongera sana kwa kupata hilo shavu la uchambuzi.
Hamna kitu pale hiv mtoa mada unajua maana ya uchambuzi?
Ambagile simjui sana ila Geof leah hanaga uwezo wa kuficha hisia kwa timu zakeJamaa anajua lakn huwez kumlinganisha na Geoff lea ppamoja na Ambangile
Joff lea hajui mpira, kajaa ujuvi tu na kukopi maelezo ya wachambuzi wa nje, mpira kasomea wapi!?Jamaa anajua lakn huwez kumlinganisha na Geoff lea ppamoja na Ambangile
Acha kupotosha,Geof Lea ni Man United,tena anaweka wazi kwenye social media.Kwa maelezo yako umeshatuonesha kuwa hayuko biasedAmbagile simjui sana ila Geof leah hanaga uwezo wa kuficha hisia kwa timu zake
Simba
Asernal
Barcelona
Kaizer chiefs
Gorh mania
LA Lakers
[emoji848][emoji848][emoji848]Kiemba kacheza mpira tena kwa kiwango cha juu kabisa hadi neshno tim. Unaanzaje kumfananisha na wapiga porojo?Jamaa anajua lakn huwez kumlinganisha na Geoff lea pamoja na Ambangile
Ambagile simjui sana ila Geof leah hanaga uwezo wa kuficha hisia kwa timu zake
Simba
Asernal
Barcelona
Kaizer chiefs
Gorh mania
LA Lakers
Yupo vizuri sana. Nipo namsikiliza hapaKiemba ni bonge la mchambuzi, anazungumza vitu vya kitaalamu ambavyo mchambuzi ambaye hajacheza mpira siyo rahisi kuvifahamu. Hana mbwembwe, anachambua kwa utulivu wa hali ya juu.
Clouds wamepatia sana kuwa na huyu mwamba.