Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Mchambuzi wa kihabesha anadai Eritrea ina jeshi lenye nguvu Africa mashariki nzima ukiiondoa Ethiopia
Nini maoni yako👇🏾
View: https://x.com/shaebiaeritrea2/status/1820370630744719614
Hawajafika hukoSi wangesema tu kuwa wao ndiyo vidume wa dunia? Kwani taabu iko wapi?
Hawajafika huko
Wanakimbia kwasababu ya umasikini na kulazimishwa jeshini hakuna uhusiano na ubovu wa jeshi laoEretria choka mbaya wananchi wanikimbia nchi ma Makini WA kutupa huwezi linganisha na JWTZ
Naqmini Eritrea ina jeshi lenye nguvu kuliko burundi ,rwanda,Djibout,somalia na sudaniMchambuzi wa kihabesha anadai Eritrea ina jeshi lenye nguvu Africa mashariki nzima ukiiondoa Ethiopia
Nini maoni yako👇🏾
View: https://x.com/shaebiaeritrea2/status/1820370630744719614
Jeshi la Eritrea liliwashinda Jeshi la Ethiopia jamaa waka surrender kwaiyo siyo la kitoto.Mchambuzi wa kihabesha anadai Eritrea ina jeshi lenye nguvu Africa mashariki nzima ukiiondoa Ethiopia
Nini maoni yako👇🏾
View: https://x.com/shaebiaeritrea2/status/1820370630744719614
Eritrea ilipigana na ethiopia kujitenga na ikafaulu,,,,Kwani walishapigana wapi, na nani?