Mchambuzi: Angekuwa ni Nabi Simba isingefika kwenye matuta

Kimataifa Nabi kwanini umfanyie uchambuzi kwenye mashindano ambayo hashiriki? Ni ushabiki wa kijinga.
Hashiriki kivp Tena......wakati yeye ndo katufikisha semi final
 
Kwani huyo nabi hajakuwepo april 16 alivyotunguliwa na SIMBA SC ?????au alikuwa anajifunza kusoma mchezo????
Malizaz acheni mbambamba mmekutana kombe la vilaza huko mnataka kutupigia kelele
 
Pale mnajaribu kulazimisha team za CAFCL zionekane ni sawa na zile za CAFCC, ni vyema mkajiuliza hizo mbinu za Nabi zilikuwa wapi wakati mnapigwa nje ndani na Al Hilal.

Mbona vitu vingine ni simple tu?
 
Umewahi kufikilia Nabi bila Mayele??????

HUYU dogo ni wale waandidhi wa habari wa HOVYO.

Huwa wanatafuta Attention kwa kuandika SIMBA NA YANGA

SISHANGAI.
Bado Wana mengi ya kujifunza kwaakina kashaha, Ambangile, Mwamnyanyi na Upete.
 
Nilitaka kusahau kuwapa congratulations wananchi Kwa kuandika historia kuwa club ya kwanza east Africa, Great lake zone Kwa kuvuka kwende nusu final bila kuroga + kufa kiume[emoji23][emoji23]View attachment 2605821
Mnapambana kweli

Simba ilicheza nusu fainali klabu bingwa 1974

Simba ilicheza fainali ya kombe la shirikisho 1993 na Stella Abdjan

Nauliza: kombe likibadilishwa jina na records zinafutwa?

Kwa hiyo Al Ahly haijawahi kuchukua ubingwa wa Afrika Mara kumi.
 
Kwani huyo nabi hajakuwepo april 16 alivyotunguliwa na SIMBA SC ?????au alikuwa anajifunza kusoma mchezo????
Malizaz acheni mbambamba mmekutana kombe la vilaza huko mnataka kutupigia kelele
Kwenye kampeni ya mangungu.....aliahidi kuifunga Yanga
......vip huja notice kitu chochote hapo
 
Pale mnajaribu kulazimisha team za CAFCL zionekane ni sawa na zile za CAFCC, ni vyema mkajiuliza hizo mbinu za Nabi zilikuwa wapi wakati mnapigwa nje ndani na Al Hilal.

Mbona vitu vingine ni simple tu?
Tuliona tuanze na hili gumu lililowashinda
 
Umewahi kufikilia Nabi bila Mayele??????

HUYU dogo ni wale waandidhi wa habari wa HOVYO.

Huwa wanatafuta Attention kwa kuandika SIMBA NA YANGA

SISHANGAI.
Bado Wana mengi ya kujifunza kwaakina kashaha, Ambangile, Mwamnyanyi na Upete.
Lkn hatuwezi kudharu uwezo wake .....it means kafanya research
 
Tuwekane sawa

Halikuwa kombe la CAFCL Simba alicheza ndondo cup iliyoanzishwa na tajiri mnaijeria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…