Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Kimataifa Nabi kwanini umfanyie uchambuzi kwenye mashindano ambayo hashiriki? Ni ushabiki wa kijinga.Tunaongelea kimataifa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimataifa Nabi kwanini umfanyie uchambuzi kwenye mashindano ambayo hashiriki? Ni ushabiki wa kijinga.Tunaongelea kimataifa mkuu
Kwanini hajasoma mchezo wa al hilal waliomfurusha na kumleta katika kombe la wapuuzi????Tunaongelea kimataifa mkuu
Hashiriki mashindano aliyokuwa anashiriki Simba. Kusema kuwa mechi ya Simba ingekuwa kocha ni Nabi angevuka ni ushabiki.Hashiriki kivp Tena......wakati yeye ndo katufikisha semi final
Mnapambana kweliNilitaka kusahau kuwapa congratulations wananchi Kwa kuandika historia kuwa club ya kwanza east Africa, Great lake zone Kwa kuvuka kwende nusu final bila kuroga + kufa kiume[emoji23][emoji23]View attachment 2605821
Kwenye kampeni ya mangungu.....aliahidi kuifunga YangaKwani huyo nabi hajakuwepo april 16 alivyotunguliwa na SIMBA SC ?????au alikuwa anajifunza kusoma mchezo????
Malizaz acheni mbambamba mmekutana kombe la vilaza huko mnataka kutupigia kelele
Tuliona tuanze na hili gumu lililowashindaPale mnajaribu kulazimisha team za CAFCL zionekane ni sawa na zile za CAFCC, ni vyema mkajiuliza hizo mbinu za Nabi zilikuwa wapi wakati mnapigwa nje ndani na Al Hilal.
Mbona vitu vingine ni simple tu?
Lkn hatuwezi kudharu uwezo wake .....it means kafanya researchUmewahi kufikilia Nabi bila Mayele??????
HUYU dogo ni wale waandidhi wa habari wa HOVYO.
Huwa wanatafuta Attention kwa kuandika SIMBA NA YANGA
SISHANGAI.
Bado Wana mengi ya kujifunza kwaakina kashaha, Ambangile, Mwamnyanyi na Upete.
Huna hoja za msingi, liko wapi sasa hilo kombe?Tuliona tuanze na hili gumu lililowashinda
Tuwekane sawaMnapambana kweli
Simba ilicheza nusu fainali klabu bingwa 1974
Simba ilicheza fainali ya kombe la shirikisho 1993 na Stella Abdjan
Nauliza: kombe likibadilishwa jina na records zinafutwa?
Kwa hiyo Al Ahly haijawahi kuchukua ubingwa wa Afrika Mara kumi.