Mchambuzi: Angekuwa ni Nabi Simba isingefika kwenye matuta

Kula chuma hicho!!
Angekuwa ni Robertinho utopolo ingeshiriki CAF champions. Robertinho ni bingwa wa kufunga goli nyingi. Angeifunga Al hilal si chini ya goli 2 kwa Mkapa.
 
Kula chuma hicho!!
Angekuwa ni Robertinho utopolo ingeshiriki CAF champions. Robertinho ni bingwa wa kufunga goli nyingi. Angeifunga Al hilal si chini ya goli 2 kwa Mkapa.
Timu dhaifu wydadi mbna imemshinda??
 
Mwambie aache ujinga huyoe jamaa.

Mbona sasa yupo kombe la loosers. Asifike kwenye matuta wakati kuingia makundi tu kulimshinda.

Hao walioingia matuta wenyewe wamemtandika Taifa 2. Sa mbona hakurudisha ndani ya dakika 90 kwa kuusoma mchezo.
 
Ibenge ni moto Mzee baba
 
Hata ww unajua kuwa hakunaga kitu kama hiko kwenye derby.
Achana na hawa utopolo vilaza. Badala ya kughushi vyeti vya udom wao wanaghushi vya Milembe hospital
 
Mbona hawakupasuka game vs simba?
 
Kwani wakati Yanga anatolewa kwenye raundi ya kwanza ndipo akahamia shirikisho kocha si alikuwa Nabi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…