Mchambuzi: Kwa mechi ya Simba na TMA, Simba walikuwa na haki ya kukimbia derby

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Anaandika yusuph mkule

"Nimewatazama Simba Leo dhidi ya TMA mpaka mwisho Kwa umakini sana nmegundua jambo. Pamoja na ushindi wa 3_0 wa simba,

kweli walistahili kuikimbia derby ya machi 8 na ilikuwa afya kuikacha derby hyo japo najua Kuna watu watanipinga."

Je una maoni Gani na huyu mchambuzi???
1741760276172.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hata kwenye mechi yenu dhidi ya MC Alger alisema Yanga imejipata na mna uwezo wa kutinga robo fainali na aliwapa maua yenu! Mwisho kilichotokea unakijua.
Na kama uliicheki Ile mechi ...utagundua kuwa Yanga walicheza Ile mechi kiume....sema tu bahat haikua yao

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Na kama uliicheki Ile mechi ...utagundua kuwa Yanga walicheza Ile mechi kiume....sema tu bahat haikua yao

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unavyosema alicheza kiume, kwani ilikuwa ni Yanga Princess? Ukweli ni kwamba hamkuwa na mkakati wowote ule wa kushinda ile mechi MC Alger angelikuwa anatafuta ushindi lazima angeshinda.

Kuachiwa kupiga pasi zisizo na mipango wa mikakati ilikuwa kazi bure, waarabu wao walikuja na mpango mkakati bora kuwashinda.
 
Kwa walioangalia mechi yao ya jana, hakika watakubaliana na huyo mtangazaji! Wachezaji ni kama walikuwa wamefungwa viroba vya mchanga kwenye miguu yao. Hata magoli waliyofunga, wala hayakuwa ma maajabu!

IMagine goli la kwanza mchezaji wa TMA alijifunga kwa uzembe wake mwenyewe!
 
Huu ushabiki wa Simba na Yanga ,unalevya!
Kwa kocha mwenye akili ,kila mechi Ina approach tofauti ....
Hivi haifuatilii hata Ulaya ,hizi Timu ndogo zinavyoadhiri wakubwa!
 
Hapana mkuu...ebu review hiyo mech...kama huna bundle nikutumie ....but mwarabu alipelekewa moto constantly.....

But that day ....it was unlucky for Yanga to win

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwa walioangalia mechi yao ya jana, hakika watakubaliana na huyo mtangazaji! Wachezaji ni kama walikuwa wamefungwa viroba vya mchanga kwenye miguu yao. Hata magoli waliyofunga, wala hayakuwa ma maajabu!

IMagine goli la kwanza mchezaji wa TMA alijifunga kwa uzembe wake mwenyewe!
Bounsa Ateba ...badala ya kufunga.....yeye akaokoa[emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Huu ushabiki wa Simba na Yanga ,unalevya!
Kwa kocha mwenye akili ,kila mechi Ina approach tofauti ....
Hivi haifuatilii hata Ulaya ,hizi Timu ndogo zinavyoadhiri wakubwa!
Yaaah mkuu....coz kule hakunaga penalty za mchongo

Back
Top Bottom