steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Walizuiwa kuingia uwanjani, CAF wamekagua uwanja wamegundua hivyo vitu,na kabla ya derby uwanja mlikabidhiwa nyie,Simba walileta vp hao wanyama ndani ya pitch?,mmeumbuka,🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walizuiwa kuingia uwanjani, CAF wamekagua uwanja wamegundua hivyo vitu,na kabla ya derby uwanja mlikabidhiwa nyie,Simba walileta vp hao wanyama ndani ya pitch?,mmeumbuka,🤣🤣🤣🤣🤣
Hata kama
Yawezekana mlileta siku za mwanzoWalizuiwa kuingia uwanjani, CAF wamekagua uwanja wamegundua hivyo vitu,na kabla ya derby uwanja mlikabidhiwa nyie,Simba walileta vp hao wanyama ndani ya pitch?,mmeumbuka,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weee ni mshamba flani tu.Anaandika yusuph mkule
"Nimewatazama Simba Leo dhidi ya TMA mpaka mwisho Kwa umakini sana nmegundua jambo. Pamoja na ushindi wa 3_0 wa simba,
kweli walistahili kuikimbia derby ya machi 8 na ilikuwa afya kuikacha derby hyo japo najua Kuna watu watanipinga."
Je una maoni Gani na huyu mchambuzi???View attachment 3267462
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Subiri matokeo mzeeWeee ni mshamba flani tu.
Hizo point 3 mnazotaka mlichezeshwa na refa gani,kamisaawamchezo walikuwa wakina nani?
Nb: Timu ina barua ya mamlaka ya kuahirisha mechi halafu ww unaenda uwanjani.
Una barua ya kuahirisha mechi halafu unadai point 3.
Huwataki na huwatambui viongozi wa bodi ya ligi lkn unataka wakupe point 3.
Hiyo mechi ulichezeshwa na refa gani.?
HATA SIMBA WALIPEWA BARUA YA MECHI KUAHIRISHWA!
NB: WENYE AKILI PALE UTOPOLO NI WAWILI TU. SASA KWA MFANO WEWW UNA AKILI GANI?
Mmeanza Calculator zenu🤓Kama Simba angecheza na mc algers...Simba angekandwa 5
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu... hiii inaitwa Cross multiplication.....basing on abilityMmeanza Calculator zenu[emoji851]