Mchambuzi: Kwa mechi ya Simba na TMA, Simba walikuwa na haki ya kukimbia derby

Mchambuzi: Kwa mechi ya Simba na TMA, Simba walikuwa na haki ya kukimbia derby

Mliwaonaje na wakati basi lilifungwa?

Hata ingekuwa hivyo hicho ndicho kilichowatisha mtani?

Kwani hao mbuzi na wazee wangewafanya nini?
Mbuzi wangeenda kuharibu miundombinu ya uwanja

1741629535039.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwa walioangalia mechi yao ya jana, hakika watakubaliana na huyo mtangazaji! Wachezaji ni kama walikuwa wamefungwa viroba vya mchanga kwenye miguu yao. Hata magoli waliyofunga, wala hayakuwa ma maajabu!

IMagine goli la kwanza mchezaji wa TMA alijifunga kwa uzembe wake mwenyewe!
Ingepigwa derby wangesema wamerogwa, kuna yule mzee wa za ndani anasema timu haina stamina so ikaamua kukimbia mechi.
 
Hata kwenye mechi yenu dhidi ya MC Alger alisema Yanga imejipata na mna uwezo wa kutinga robo fainali na aliwapa maua yenu! Mwisho kilichotokea unakijua.
Mc alger sio TMA tofautisha kwanza ivyo vitu,,timu ya daraja la kwanza inayoshika nafasi ya 5 kwenye msimamo na bado ukacheza nayo vile mnatakiwa kujiwekea alama ya kuuliza!
 
Timu imeingia robo baada ya miaka 32 unasema bahati haikuwa yenu subirini miaka 32 tena ndio muingie robo. Kipindi Simba imeanza kujitafuta Kimataifa mlikuwa mnawapokea wapinzani. Kumepambazuka ndio mnakumbuka shuka [emoji16][emoji16]
Kama Simba angecheza na mc algers...Simba angekandwa 5

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Simba ndiye aliandika barua ya kukimbia mechi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kabla hawajaandika Yanga ndio iliiogopa simba isifanye mazoezi kwani wangetegua mitego yao,

Na mbaya zaidi uwanja wenyewe CAF wameufungia,umekutwa mmechimbia hadi ngozi za wanyama na viungo vingine,mashimo kibao,mjitu ni michawi sana aisee,🤣🤣🤣🤣
 
Kabla hawajaandika Yanga ndio iliiogopa simba isifanye mazoezi kwani wangetegua mitego yao,

Na mbaya zaidi uwanja wenyewe CAF wameufungia,umekutwa mmechimbia hadi ngozi za wanyama na viungo vingine,mashimo kibao,mjitu ni michawi sana aisee,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simba ndo wanaoleta wanyama uwanjani

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Anaandika yusuph mkule

"Nimewatazama Simba Leo dhidi ya TMA mpaka mwisho Kwa umakini sana nmegundua jambo. Pamoja na ushindi wa 3_0 wa simba,

kweli walistahili kuikimbia derby ya machi 8 na ilikuwa afya kuikacha derby hyo japo najua Kuna watu watanipinga."


Je una maoni Gani na huyu mchambuzi???View attachment 3267462

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huyo mtangazaji sijui anapigwa miti na Nani.
Mungu wake amsaidie tu.
 
Back
Top Bottom