From YangaNo reform no derby
Lakini hata wao wameona performance ya Timu yaoMbumbumbu watalia na Kusaga meno
Yaaah mkuu... that's y mbio ndo silaha ya kwanza kwenye upambanajikwakweli kwa kikosi na uchezaji ule, walikua wanapigwa 8 kwenye derby. Always ni kheri nusu shari kuliko shari kamili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kwenye mechi yenu dhidi ya MC Alger alisema Yanga imejipata na mna uwezo wa kutinga robo fainali na aliwapa maua yenu! Mwisho kilichotokea unakijua.
Na kama uliicheki Ile mechi ...utagundua kuwa Yanga walicheza Ile mechi kiume....sema tu bahat haikua yaoHata kwenye mechi yenu dhidi ya MC Alger alisema Yanga imejipata na mna uwezo wa kutinga robo fainali na aliwapa maua yenu! Mwisho kilichotokea unakijua.
Unavyosema alicheza kiume, kwani ilikuwa ni Yanga Princess? Ukweli ni kwamba hamkuwa na mkakati wowote ule wa kushinda ile mechi MC Alger angelikuwa anatafuta ushindi lazima angeshinda.Na kama uliicheki Ile mechi ...utagundua kuwa Yanga walicheza Ile mechi kiume....sema tu bahat haikua yao
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mazoezi ndio mje na basi limejaa wazee wafupi + mbuziEti eeeeeh?
Mngeitamani sana ile derby msingewazuia wenzenu kufanya mazoezi
Kwani mliogopa nini?
Mliwaonaje na wakati basi lilifungwa?Mazoezi ndio mje na basi limejaa wazee wafupi + mbuzi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu...ebu review hiyo mech...kama huna bundle nikutumie ....but mwarabu alipelekewa moto constantly.....Unavyosema alicheza kiume, kwani ilikuwa ni Yanga Princess? Ukweli ni kwamba hamkuwa na mkakati wowote ule wa kushinda ile mechi MC Alger angelikuwa anatafuta ushindi lazima angeshinda.
Kuachiwa kupiga pasi zisizo na mipango wa mikakati ilikuwa kazi bure, waarabu wao walikuja na mpango mkakati bora kuwashinda.
Bounsa Ateba ...badala ya kufunga.....yeye akaokoa[emoji23]Kwa walioangalia mechi yao ya jana, hakika watakubaliana na huyo mtangazaji! Wachezaji ni kama walikuwa wamefungwa viroba vya mchanga kwenye miguu yao. Hata magoli waliyofunga, wala hayakuwa ma maajabu!
IMagine goli la kwanza mchezaji wa TMA alijifunga kwa uzembe wake mwenyewe!
Yaaah mkuu....coz kule hakunaga penalty za mchongoHuu ushabiki wa Simba na Yanga ,unalevya!
Kwa kocha mwenye akili ,kila mechi Ina approach tofauti ....
Hivi haifuatilii hata Ulaya ,hizi Timu ndogo zinavyoadhiri wakubwa!