Mchambuzi: Kwa mechi ya Simba na TMA, Simba walikuwa na haki ya kukimbia derby

Ingepigwa derby wangesema wamerogwa, kuna yule mzee wa za ndani anasema timu haina stamina so ikaamua kukimbia mechi.
 
Hata kwenye mechi yenu dhidi ya MC Alger alisema Yanga imejipata na mna uwezo wa kutinga robo fainali na aliwapa maua yenu! Mwisho kilichotokea unakijua.
Mc alger sio TMA tofautisha kwanza ivyo vitu,,timu ya daraja la kwanza inayoshika nafasi ya 5 kwenye msimamo na bado ukacheza nayo vile mnatakiwa kujiwekea alama ya kuuliza!
 
Timu imeingia robo baada ya miaka 32 unasema bahati haikuwa yenu subirini miaka 32 tena ndio muingie robo. Kipindi Simba imeanza kujitafuta Kimataifa mlikuwa mnawapokea wapinzani. Kumepambazuka ndio mnakumbuka shuka [emoji16][emoji16]
Kama Simba angecheza na mc algers...Simba angekandwa 5

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Simba ndiye aliandika barua ya kukimbia mechi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kabla hawajaandika Yanga ndio iliiogopa simba isifanye mazoezi kwani wangetegua mitego yao,

Na mbaya zaidi uwanja wenyewe CAF wameufungia,umekutwa mmechimbia hadi ngozi za wanyama na viungo vingine,mashimo kibao,mjitu ni michawi sana aisee,🤣🤣🤣🤣
 
Simba ndo wanaoleta wanyama uwanjani

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Huyo mtangazaji sijui anapigwa miti na Nani.
Mungu wake amsaidie tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…