Mchambuzi: Kwa mechi ya Simba na TMA, Simba walikuwa na haki ya kukimbia derby

Walizuiwa kuingia uwanjani, CAF wamekagua uwanja wamegundua hivyo vitu,na kabla ya derby uwanja mlikabidhiwa nyie,Simba walileta vp hao wanyama ndani ya pitch?,mmeumbuka,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yawezekana mlileta siku za mwanzo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi Ujinga wa watu wachache unafanya tunatukanwa na majirani zetu.

Hivi kwa akili ya kawaida kwamba kocha Fadlu angecheza na angeingia kwenye derby na approach aliyoingia nayo dhidi ya TMA?

Kwamba kwenye derby Ahoua, Mpanzu na Mohamed Husseni wasingecheza?

Hawa wachambuzi wenu mnawatolea wapi? Wanaliabisha taifa kwa akili zao za div. 4 ya 39.
 
Weee ni mshamba flani tu.

Hizo point 3 mnazotaka mlichezeshwa na refa gani,kamisaawamchezo walikuwa wakina nani?

Nb: Timu ina barua ya mamlaka ya kuahirisha mechi halafu ww unaenda uwanjani.

Una barua ya kuahirisha mechi halafu unadai point 3.

Huwataki na huwatambui viongozi wa bodi ya ligi lkn unataka wakupe point 3.

Hiyo mechi ulichezeshwa na refa gani.?


HATA SIMBA WALIPEWA BARUA YA MECHI KUAHIRISHWA!

NB: WENYE AKILI PALE UTOPOLO NI WAWILI TU. SASA KWA MFANO WEWW UNA AKILI GANI?
 
Subiri matokeo mzee

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…