Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Unasemaje...!?Mashabiki wa Simba ni kero sana. Mimi naona mpewe timu muiendeshe kwa kila kitu. Hamna shukrani kabisa. Kazi tu kuwavunja moyo wachezaji, kocha, viongozi na wawekezaji. Kifupi hamfai kuwa Mashabiki katika ulimwengu uliostaarabika.
Vipi na Arajiga! Mbona hujamtaja!! Na yeye pia amechezesha vizuri sana.Huyo mchambuzi na ww mtakufa midomo wazi...kwa alieangalia mechi Simba imecheza vzr sana...na Coastal wamecheza vzr sana pia...
Acheni chuki ongeeni reality...
Wanahitaji chanjo ya polio[emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia mkuu wachache sana wenye uthubutu kama wako wasio na unafiki wala uoga!!
Kifupi Simba wamepoza kama polio [emoji23]
Sasa shafih dauda naye mchambuzi wa kumsikiliza utakuwa na kichaa wewe sio bure..Simba bado wanacheza mpira wa hovyo
"Achana na idadi ya magoli yaliyofungwa na Simba leo,kwa aina ya timu iliyokutana nayo na aina ya mchezo ulivyokuwa ilikuwa ni nafasi ya kutupa mechi safi tofauti na hii tuliyoiona.Simba hii hata ukiangalia bar unasinzia"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
SHAFFIH DAUDA,DIGALA.
NB: nafasi bado Iko wazi Kwa Makolo kwenda kupiga tuition pale jangwani View attachment 2757310
Kocha inabidi afanyie kazi iloKocha unamuonea tu mkuu. Timu inaonekana morali ipo chini sana.
Either pressure imekuwa juu sana ama wachezaji wanataka kufanya vitu vingi ambavyo havipo katika maelekezo ya mwalimu.
Shida zaidi ya Simba inakuja wakiwa hawana mpira. Wachezaji wanatembea na huoni uthubutu wao katika kutafuta mpira.
One day nitakufundisha basics za uchambuzi......then utakuwa na inner thinking ya mpira .....than be too more shabikiHuyo mchambuzi na ww mtakufa midomo wazi...kwa alieangalia mechi Simba imecheza vzr sana...na Coastal wamecheza vzr sana pia...
Acheni chuki ongeeni reality...
Daaaah [emoji23]Hapo ndo kazi ya mwalimu inapoonekana.
Kama mchezaji hajitumi mtie benchi weka wengine wacheze.
Kuna wachezaji pale Simba hata wakicheza pumba kila siku hawana pressure maana wana namba za kudumu (Mfano Zimbwe, Kapombe, Saido, Mzamiru et al).
Kocha hafanyi rotation ya wachezaji, kila mechi watu walewale na ameshindwa kabisa 100% kupandisha morali ya timu.
Mwanzo ALITUDANGANYA eti anapenda mchezo wa kasi na kusema akina Chama wanamchelewesha, lakini hivi ukiangalia toka aje yeye na kabla yake, kipi kimeongezeka kiuchezaji tofauti na kushuka?.
Timu inapata matokeo ya kimchezo yatokanayo na uwezo binafsi ila sio mbinu za kocha.
Hata ukiangalia timu inavyojipanga wakati wa kushambulia au kukaba ni kituko. Kuna gap kubwa sana na mashimo mengi uwanjani yanayoachwa wazi.
Simba tumezoea ball linatembea dakika 90 kwa kasi na matokeo yanapatikana. Hata likifungwa goli moja wakati ball limetembea washabiki tulikuwa tunafurahi tofauti na sasa ambapo hata tukishinda 5 bila nadhani bado hatutakuwa na furaha.
[emoji23][emoji23]Simba ikishinda maneno ikifungwa maneno mashabiki sijui mnataka nini? Yaani simba ingecheza mpira wenu mnaofikiria kichwani ikafungwa naye pia mngelalamika yaani mtaitwa malalamiko fc yaani hakuna hata kuwatia moyo wachezaji wafanye vizuri malalamiko malalamiko kila uchao dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mudi anawafundisha kulalamika[emoji23][emoji23]Mashabiki wa Simba ni kero sana. Mimi naona mpewe timu muiendeshe kwa kila kitu. Hamna shukrani kabisa. Kazi tu kuwavunja moyo wachezaji, kocha, viongozi na wawekezaji. Kifupi hamfai kuwa Mashabiki katika ulimwengu uliostaarabika.
Teh tehSasa shafih dauda naye mchambuzi wa kumsikiliza utakuwa na kichaa wewe sio bure..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna furahaa weyeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ufaza mwingi, pale hakuna kocha.
Timu inashinda ila mashabiki hatuna furaha
Sio mashabiki wa simba, ni mamluki wa kidimbwini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simba ikishinda maneno ikifungwa maneno mashabiki sijui mnataka nini? Yaani simba ingecheza mpira wenu mnaofikiria kichwani ikafungwa naye pia mngelalamika yaani mtaitwa malalamiko fc yaani hakuna hata kuwatia moyo wachezaji wafanye vizuri malalamiko malalamiko kila uchao dah
Sent using Jamii Forums mobile app
We kama tetea acha upepo ubinueMnahangaika kama majogoo...
Nakuondoa kwenye umbumbumbuMimi ni Simba lialia ila kaongea ukweli
Kwa hisani ya ArajigaHuyo mchambuzi na ww mtakufa midomo wazi...kwa alieangalia mechi Simba imecheza vzr sana...na Coastal wamecheza vzr sana pia...
Acheni chuki ongeeni reality...
Wanaotafuta jikeMnahangaika kama majogoo...