Mchambuzi: Simba bado wanacheza mpira wa ovyo

Mchambuzi: Simba bado wanacheza mpira wa ovyo

Unasinziaje ukiangalia mechi ya simba bar,nyie bar si mnafauata pisi kali tu...kila mechi simba anacheza kutokana na ukubwa wa mechi, ugumu,ushindani so ni kawaida cha msingi ni matokeo,mnataka simba icheze kama Arsenal?
Pale kuna vibes za kutosha
 
Simba bado wanacheza mpira wa hovyo

"Achana na idadi ya magoli yaliyofungwa na Simba leo, kwa aina ya timu iliyokutana nayo na aina ya mchezo ulivyokuwa ilikuwa ni nafasi ya kutupa mechi safi tofauti na hii tuliyoiona.Simba hii hata ukiangalia bar unasinzia"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

SHAFFIH DAUDA ,DIGALA.

NB: Nafasi bado Iko wazi Kwa Makolo kwenda kupiga tuition pale jangwani View attachment 2757310
Sema dada shafii. Malaya wa football la Tz
 
Huu uchambuzi wa hovyo sana sisi tunataka matokeo sio mpira mzuri na mpira wanaocheza Simba sasa ndio utaowafikisha nusu fainali club bingwa mkae mkijua mpira ni sayansi. Kipindi cha nyuma tulikuwa tunacheza mpira mzuri kweli tukienda ugenini tunapigwa tano sasa faida yake nini. Kule South tuliupiga mwingi sana dhidi ya Kaizer chief tukapigwa nne mtungi sasa huu ndio mpira mnaoutaka? Sisi mashabiki halisi wa mnyama tumechoka mpira mzuri sasa tunataka mpira matokeo. Kuna kipindi kwenye maisha binadamu huitaji kile ambacho hana au hajawahi kumiliki.
 
Hakika....sema wanasimba walizoea pira lunyasi
 
Simba ikishinda maneno ikifungwa maneno mashabiki sijui mnataka nini? Yaani simba ingecheza mpira wenu mnaofikiria kichwani ikafungwa naye pia mngelalamika yaani mtaitwa malalamiko fc yaani hakuna hata kuwatia moyo wachezaji wafanye vizuri malalamiko malalamiko kila uchao dah

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa Simba inabebwa sana na Brand yake. Tatizo lipo kwa Wachezaji Waandamizi hasa Kapombe na Shabalala na wakati mwingine Chama, huwa wanacheza alimradi tu. Ila siku wakiamua kucheza kwa kujituma utawapenda sana. Ndio maana Yanga aliamua kuwatema Yanick Bangala na Djuma Shaban, si kwa sababu viwango vyao vipo chini la hasha ila ni kwa sababu ya kucheza kwa kutojituma na kuendekeza Ufarther kwenye timu.
 
Back
Top Bottom