Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale kuna vibes za kutoshaUnasinziaje ukiangalia mechi ya simba bar,nyie bar si mnafauata pisi kali tu...kila mechi simba anacheza kutokana na ukubwa wa mechi, ugumu,ushindani so ni kawaida cha msingi ni matokeo,mnataka simba icheze kama Arsenal?
Hata ile mechi ya mwanzo ya Simba hapo ilikua hivyo..Itakuwa labda sema nao azam tv jana kamera zao zilikuwa na ukungu sana walizingua jana
Ndiyo hivyo [emoji38]Pale kuna vibes za kutosha
Njooni chamazi pale uwanja umekaa vibaya hata nyasi ni miyeyusho tuHata ile mechi ya mwanzo ya Simba hapo ilikua hivyo..
Sema dada shafii. Malaya wa football la TzSimba bado wanacheza mpira wa hovyo
"Achana na idadi ya magoli yaliyofungwa na Simba leo, kwa aina ya timu iliyokutana nayo na aina ya mchezo ulivyokuwa ilikuwa ni nafasi ya kutupa mechi safi tofauti na hii tuliyoiona.Simba hii hata ukiangalia bar unasinzia"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
SHAFFIH DAUDA ,DIGALA.
NB: Nafasi bado Iko wazi Kwa Makolo kwenda kupiga tuition pale jangwani View attachment 2757310
Hakika....sema wanasimba walizoea pira lunyasiHuu uchambuzi wa hovyo sana sisi tunataka matokeo sio mpira mzuri na mpira wanaocheza Simba sasa ndio utaowafikisha nusu fainali club bingwa mkae mkijua mpira ni sayansi. Kipindi cha nyuma tulikuwa tunacheza mpira mzuri kweli tukienda ugenini tunapigwa tano sasa faida yake nini. Kule South tuliupiga mwingi sana dhidi ya Kaizer chief tukapigwa nne mtungi sasa huu ndio mpira mnaoutaka? Sisi mashabiki halisi wa mnyama tumechoka mpira mzuri sasa tunataka mpira matokeo. Kuna kipindi kwenye maisha binadamu huitaji kile ambacho hana au hajawahi kumiliki.
Kwa sasa Simba inabebwa sana na Brand yake. Tatizo lipo kwa Wachezaji Waandamizi hasa Kapombe na Shabalala na wakati mwingine Chama, huwa wanacheza alimradi tu. Ila siku wakiamua kucheza kwa kujituma utawapenda sana. Ndio maana Yanga aliamua kuwatema Yanick Bangala na Djuma Shaban, si kwa sababu viwango vyao vipo chini la hasha ila ni kwa sababu ya kucheza kwa kutojituma na kuendekeza Ufarther kwenye timu.Simba ikishinda maneno ikifungwa maneno mashabiki sijui mnataka nini? Yaani simba ingecheza mpira wenu mnaofikiria kichwani ikafungwa naye pia mngelalamika yaani mtaitwa malalamiko fc yaani hakuna hata kuwatia moyo wachezaji wafanye vizuri malalamiko malalamiko kila uchao dah
Sent using Jamii Forums mobile app