GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
" Ifike muda sasa tuambiane ukweli tafadhali. Yanga SC waache unafiki na kutaka Kuwahadaa Mashabiki wao kwani wameshakaa na Serikali pamoja na Simba SC na Kukubaliana tena hadi kwa Kusaini kuwa watacheza huo Mchezo baada ya Kuahirishwa na Serikali iweje leo wanajitokeza Watu wengine pembeni na kutaka Kuharibu hii Ligi yetu? Kiukweli inakera tena kuona Upuuzi huu unatoka katika Klabu Kubwa na ya Kihistoria hapa Tanzania "
Chanzo: EFM Sports Headquarters leo
Haya sasa wana Yanga SC Mimi GENTAMYCINE mwana Simba SC nikiwa ' nawachamba ' kutwa hapa JamiiForums huwa ' mnachukia ' hebu mchukieni na Jemedari Said mwana Yanga SC mwenzenu ' Kindakindaki ' kwa hii Ngumi yake ya Uso ya ' TKO ' aliyowapigeni.