Anachambua Mchambuzi wa Efm Tanzania, Wilson Oruma.
View attachment 2646261
"Simba Sports jipangeni, mkiendelea Kusema Yanga Africa wamekutana na team dhaifu"
"Mtashangaa wanacheza Fainali ya CAF champions league next season. Hii Fainali ya CAFCC haiwezi Kuwaacha Yanga hivi hivi"
"Wamepata uzoefu Mkubwa, ambao nyie team yenu haina.Tengenezeni Team"
Mwakarobo kula chuma hiko kutoka kwa Commentator wa CAF.View attachment 2646409
Kutoka maktaba.