Hatuna raisiMchambuzi maarufu wa siasa kutoka Kenya, Herman Manyora, amezua gumzo baada ya kudai kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, hatoweza kumaliza kipindi chake cha miaka mitano madarakani.
Akizungumza katika mahojiano na Tedd Agwa, Manyora alisema hali ya kisiasa nchini Tanzania inaashiria anguko la Chama cha Mapinduzi (CCM), akibainisha kuwa uongozi wa Rais Samia umeathiri uimara wa chama hicho tawala kwa tuhuma zote chafu dhidi ya chama hicho ambayo inaweza kugharimu muda mrefu kurejesha imani yake kwa wananchi
“Hakuna namna Samia ataweza kumaliza miaka mitano madarakani,” alisema Manyora, akisisitiza kuwa hatua na mienendo ya kisiasa ya rais huyo “imeharibu misingi ya CCM kutoka ndani.”
Manyora pia alizungumzia kukamatwa na kushtakiwa kwa kosa la uhaini kwa kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu, ambaye alikuwa mpinzani mkuu wa Rais Samia. Hata hivyo, alisema kuwa hata kama Lissu angekuwa huru, bado ingekuwa vigumu kwake kumshinda Samia kutokana na ushawishi mkubwa wa CCM katika Siasa
Reply za hivi ndizo hufanya wana CCM tuonekane hatuna uwezo wa kutafakari na kuzichakata kwa kina hoja zinazo tukosoa.Wamemalizana na Kasongo?
Mjibu kwanza walichokyanwanaandamani wamemaliza??? Kenya wamefanya mengi sikuwahi ona tz ikiingilia mambo yao kiasi hiki kuna kitu hakiko sawa.Reply za hivi ndizo hufanya wana CCM tuonekane hatuna uwezo wa kutafakari na kuzichakata kwa kina hoja zinazo tukosoa.
Umemsikiliza alicho kisema?Mjibu kwanza walichokyanwanaandamani wamemaliza??? Kenya wamefanya mengi sikuwahi ona tz ikiingilia mambo yao kiasi hiki kuna kitu hakiko sawa.
Its a test naamini serikali (sio Samia au CCM) itafaulu
He’s right. In the context of the current situation, it’s hard to imagine that this bitch will be in power until 2030!Mchambuzi maarufu wa siasa kutoka Kenya, Herman Manyora, amezua gumzo baada ya kudai kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, hatoweza kumaliza kipindi chake cha miaka mitano madarakani.
Akizungumza katika mahojiano na Tedd Agwa, Manyora alisema hali ya kisiasa nchini Tanzania inaashiria anguko la Chama cha Mapinduzi (CCM), akibainisha kuwa uongozi wa Rais Samia umeathiri uimara wa chama hicho tawala kwa tuhuma zote chafu dhidi ya chama hicho ambayo inaweza kugharimu muda mrefu kurejesha imani yake kwa wananchi
“Hakuna namna Samia ataweza kumaliza miaka mitano madarakani,” alisema Manyora, akisisitiza kuwa hatua na mienendo ya kisiasa ya rais huyo “imeharibu misingi ya CCM kutoka ndani.”
Manyora pia alizungumzia kukamatwa na kushtakiwa kwa kosa la uhaini kwa kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu, ambaye alikuwa mpinzani mkuu wa Rais Samia. Hata hivyo, alisema kuwa hata kama Lissu angekuwa huru, bado ingekuwa vigumu kwake kumshinda Samia kutokana na ushawishi mkubwa wa CCM katika Siasa
Ana hojaMchambuzi maarufu wa siasa kutoka Kenya, Herman Manyora, amezua gumzo baada ya kudai kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, hatoweza kumaliza kipindi chake cha miaka mitano madarakani.
Akizungumza katika mahojiano na Tedd Agwa, Manyora alisema hali ya kisiasa nchini Tanzania inaashiria anguko la Chama cha Mapinduzi (CCM), akibainisha kuwa uongozi wa Rais Samia umeathiri uimara wa chama hicho tawala kwa tuhuma zote chafu dhidi ya chama hicho ambayo inaweza kugharimu muda mrefu kurejesha imani yake kwa wananchi
“Hakuna namna Samia ataweza kumaliza miaka mitano madarakani,” alisema Manyora, akisisitiza kuwa hatua na mienendo ya kisiasa ya rais huyo “imeharibu misingi ya CCM kutoka ndani.”
Manyora pia alizungumzia kukamatwa na kushtakiwa kwa kosa la uhaini kwa kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu, ambaye alikuwa mpinzani mkuu wa Rais Samia. Hata hivyo, alisema kuwa hata kama Lissu angekuwa huru, bado ingekuwa vigumu kwake kumshinda Samia kutokana na ushawishi mkubwa wa CCM katika Siasa
Swali je una taarifa sahihi kuhusu LISSU??? Hili siwezi kulijibu until nina taarifa sahihi ila ninachojua LISU na wengine wapo nje kwa udhaifu wa sheria zetuUmemsikiliza alicho kisema?
Ameisifia CCM kwa mambo makubwa yaliyofanywa tangu enzi za mwalimu,hoja ni je,Lissu alikuwa ni tishio kwa CCM kwenye uchaguzi huu?
Mpaka hapo upo pamoja na mimi. Hatuna taarifa sahihi,tunavyo sanuliwa tunatakiwa kwenda mbali zaidi ya tuliyo yasikia kuliko kukanushaSwali je una taarifa sahihi kuhusu LISSU??? Hili siwezi kulijibu until nina taarifa sahihi ila ninachojua LISU na wengine wapo nje kwa udhaifu wa sheria zetu
Sheria zetu zingekuwa imara, Lisu alitakiwa awe wapi?Swali je una taarifa sahihi kuhusu LISSU??? Hili siwezi kulijibu until nina taarifa sahihi ila ninachojua LISU na wengine wapo nje kwa udhaifu wa sheria zetu