GE2025 Mchambuzi wa siasa Said Miraj: Vyama vya siasa vimekomaa katika Uchaguzi huu

GE2025 Mchambuzi wa siasa Said Miraj: Vyama vya siasa vimekomaa katika Uchaguzi huu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Akizungumza kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV, Said Miraj ambaye ni mchambuzi wa siasa za Tanzania alisema

"Mara hii katika mbio hizi za kuwania kutafuta kura vyama vimekomaa, unakuta chama tangu ianze kampeni chama ambacho hukukitizamia kishatembea saizi mikoa zaidi ya 17, Wilaya zaidi ya 30, unakuta mgombea anafanya mikutano zaidi ya 60 kwenda mbele, hiyo tulizoea ni vyama maalum"


 
Labda kupewa magari kumewapa motisha ila in all seriousness vyama vipunguzwe maana kuwa na vyama 18 na havipo active mpaka uchaguzi ufike ni wastage of time.

Iwekwe sheria kwamba lazima kiwe na mikutano kadhaa kwa mwaka, kiwe na wanachama hai walau laki 1!! Ili tupunguze utitiri wa vyama visivyo na tija.
 
Huyo ni zumbukuku na waliosikiliza na kumuelewa ni mazumbukuku pia, nchi ya hovyo sana hii.
 
Vyama havijulikani vimekomaa kivipi? Kwenye kampeni zao hali inasikitisha, wagombea wake wanaonekana ni wehu na watu hawasimami kuwasikiliza, huo ndio ukomavu?
 
Akizungumza kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV, Said Miraj ambaye ni mchambuzi wa siasa za Tanzania alisema

"Mara hii katika mbio hizi za kuwania kutafuta kura vyama vimekomaa, unakuta chama tangu ianze kampeni chama ambacho hukukitizamia kishatembea saizi mikoa zaidi ya 17, Wilaya zaidi ya 30, unakuta mgombea anafanya mikutano zaidi ya 60 kwenda mbele, hiyo tulizoea ni vyama maalum"


Miraj kuku kabisa
 
Back
Top Bottom